Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Yaani siku nimekuwa mtaalamu wa vitu na mambo mbalimbali, mapenzi. Tekno hama na hata wizi, ujanjaujanja na habari kalikali vyote nimevifahamu hapa.
Mwavenje sana
Mwavenje sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sanaaa tuu!..yakwangu niliyojifunza ni makubwa zaidi...
sanaaa tuu!..yakwangu niliyojifunza ni makubwa zaidi...
Umejifunza nini?
Asante sana mkuu. Ni mimi na maxence melo ndio tulikuja na hili wazo baada ya kuona watanzania wanahitaji sehemu ya kutoa mawazo yao bila woga.
Jiskie upo nyumbani na karib sana
mh! Wabunge karibu wote wapo hm amini usiamin
Lawyer bana lol.Asante sana mkuu. Ni mimi na maxence melo ndio tulikuja na hili wazo baada ya kuona watanzania wanahitaji sehemu ya kutoa mawazo yao bila woga.
Jiskie upo nyumbani na karib sana
Ushirikina je!?Yaani siku nimekuwa mtaalamu wa vitu na mambo mbalimbali,mapenzi.Tekno hama na hata wizi,ujanjaujanja na habari kalikali vyote nimevifahamu hapa.Mwavenje sana
Mambo ya nyakatiKitambo sana
Jf ya enzi hizooo ilikuwa fireeeee
Siku hizi dah..ndio maana wengi waliochangia huu uzi hawapo humu jf
Either wameona utoto umezidi,au majukumu,afya na wengine labda hatukonao duniani(rip)