Abashomi vs waislamu kwetu Bukoba

Abashomi vs waislamu kwetu Bukoba

Kyenyabasa

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2023
Posts
247
Reaction score
715
Ukienda kuishi bukoba ukasikia kuna watu wanaitwa "Abashomi(wasomi) ujue hao ni wakristo,,,kwa bukoba iliaminika kwamba waislamu walikuwa hawapendi shule huku wakristo wakipiga kitabu kwelikweli ndo ukatokea msemo wa kuwaita wakristo (abashomi) huku muislamu akabaki akitambulika Kama muislamu tu.

Kwqhiyo mpaka leo ukifika bukoba kama ni kujitambulisha kuhusu dini yako utajitambulisha hivi Mimi ni Mshomi(mkiristo) au mwislamu( asiyependa shule)

Kwa bukoba ukiulizwa we dini gani ukasema mkristo unaweza usieleweke vizuri,,,,we sema tu Mimi ni MSHOMI( mkristo) ikimaanisha msomi,,,au mwislamu( asiyependa shule)
Asalaam aleykum
 
Bukoba ipi unao ongelea wilaya au unamanisha mkoa wa Kagera mzima, nyie ndo watu mnae potosha kwa kutojua historia ya nchi hi.
 
Back
Top Bottom