MAKANJAMNA
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,138
- 1,514
Locomotives za mzungu ni mkataba.. maana unaweza kuitumia more than 25 years..Hawa jamaa naona wana deal sana na "stadler rail" usikute tender ya ku supply loco akapewa huyu. Nimegundua kampuni za kizungu siyo expensive sana, tatizo middlemen na ufisadi. Sito shangaa tender ya ku supply trains akashinda mzungu kwa bei ya kawaida tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]This is world class, ABB ni watu wa kazi hasa. Siyo yale mambo mkikuyu anafungiwa mifumo inasoma Kichina!! Halafu ana ambiwa ni chinies grade 1 anaishia kukenua.
Nyinyi ndio huwa mnasema Wakenya tunapenda kusifa wazungu kumbe nyinyi ndio nambar one kwa mambo hayo.Hawa jamaa naona wana deal sana na "stadler rail" usikute tender ya ku supply loco akapewa huyu. Nimegundua kampuni za kizungu siyo expensive sana, tatizo middlemen na ufisadi. Sito shangaa tender ya ku supply trains akashinda mzungu kwa bei ya kawaida tu.
Manyang'au yanaona wivu balaa.Reli nzuri ila nchi yenyewe masikini. Sasa makutupora ni town gani. Kuweka electric train kwenye jangwa ni kupoteza pesa.
Duuh.It feels awkward ile unaingia tu JF then unakutana na comment ya Magonjwa Mtambuka
Jina tu lenyewe linatisha.Sipafahamu, najua tu ni town ndogo
Kama Kenya ingejengewa rail na Yapi Markezi Uhuru ange kimbia mbio mpaka Istanbul na mkataba ungesainiwa huko huko. Hii ya ABB ange enda HQ yao na kulala ata kwa siku 3. Sisi tunapiga nao kazi bila kulaliana, hakuna shobo hapa.Nyinyi ndio huwa mnasema Wakenya tunapenda kusifa wazungu kumbe nyinyi ndio nambar one kwa mambo hayo.
Nimeona kama wao hawadili na Locomotive badala yake wana dili na teknologia ya locomotive. Hawatengenezi mashine ila mifumo ya mashine za umeme.Hawa jamaa naona wana deal sana na "stadler rail" usikute tender ya ku supply loco akapewa huyu. Nimegundua kampuni za kizungu siyo expensive sana, tatizo middlemen na ufisadi. Sito shangaa tender ya ku supply trains akashinda mzungu kwa bei ya kawaida tu.
Stadler rail wanatengeneza train na mimi ndiyo nilio wataja! Itakua tumepishana, Uko sahihi kuhusu ABB.Nimeona kama wao hawadili na Locomotive badala yake wana dili na teknologia ya locomotive. Hawatengenezi mashine ila mifumo ya mashine za umeme.
Daadekii,,huu mziki mnene,,majirani wapiga zumari hawauwezi..!The power of self financing a project!
Financier: 1/2 GoT + 1/2 lending of concession loans from Banks i.e. Stanchart + Credit Suisse + TADB.
Designer: Danish COWI,
Main consultant: Korean Korail,
Constructors: Turkish Yapi Merkezi+ Motal Engil + Tanzanian sub constructors
Rail bars supplier: Japanese Nicon Steel
Substation automation control and protection system: German Daimler-Benz's ABB.
Training: Korea, Turkey, Indian and Ethiopia
Engines and Locomotives: Will it be French Alistair? Or Canadian Bombardier? Or German Siemens or US General Electrics? Or Japanese Hitachi? May one with the best deal win!
nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh,msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11