Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Huyu ndiye aliyekuwa mbunge wa Temeke kabla ya kuangushwa 2015 , lakini 2020 amerudi tena .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawatosheki!!!
Je aliwafanyia nini watu wa Temeke hata wamkumbuke?
Daaah Watanganyika!!
... ila CCM wamepiga sana hela kwenye hili zoezi!Sadaka yake ya 100,000/= imepokelewa Mungu atamuongezea pale alipoichukua. 😂😁