Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Jul 17, 2020 #1 Huyu ndiye aliyekuwa mbunge wa Temeke kabla ya kuangushwa 2015 , lakini 2020 amerudi tena .
mng'ato JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 29,200 Reaction score 49,076 Jul 17, 2020 #2 Amsalimie Mbunge wa Songea mtarajiwa kupitia Ccm Kamanda Abdallah Zombe.
Mjomba Fujo JF-Expert Member Joined Oct 27, 2012 Posts 2,438 Reaction score 6,313 Jul 17, 2020 #3 Sadaka yake ya 100,000/= imepokelewa Mungu atamuongezea pale alipoichukua. ππ
Mwanamageuko JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 8,604 Reaction score 5,583 Jul 17, 2020 #4 Hawatosheki!!! Je aliwafanyia nini watu wa Temeke hata wamkumbuke? Daaah Watanganyika!!
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Jul 17, 2020 #5 Mwanamageuko said: Hawatosheki!!! Je aliwafanyia nini watu wa Temeke hata wamkumbuke? Daaah Watanganyika!! Click to expand... Temeke inaongozwa na nani?
Mwanamageuko said: Hawatosheki!!! Je aliwafanyia nini watu wa Temeke hata wamkumbuke? Daaah Watanganyika!! Click to expand... Temeke inaongozwa na nani?
dudus JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 23,782 Reaction score 54,213 Jul 17, 2020 #6 ... huyu si ndiye enzi hizo alikuwa "anawatafutia" mabinti wa kitanzania "kazi" uarabuni walikoishia kudhalilika kwa kiwango cha kutisha?
... huyu si ndiye enzi hizo alikuwa "anawatafutia" mabinti wa kitanzania "kazi" uarabuni walikoishia kudhalilika kwa kiwango cha kutisha?
dudus JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 23,782 Reaction score 54,213 Jul 17, 2020 #7 Mjomba Fujo said: Sadaka yake ya 100,000/= imepokelewa Mungu atamuongezea pale alipoichukua. ππ Click to expand... ... ila CCM wamepiga sana hela kwenye hili zoezi!
Mjomba Fujo said: Sadaka yake ya 100,000/= imepokelewa Mungu atamuongezea pale alipoichukua. ππ Click to expand... ... ila CCM wamepiga sana hela kwenye hili zoezi!
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Nov 21, 2022 Thread starter #8 [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]