Abby Skillz sijui kama utaweza kurudi kwa uimbaji huu

Mapensho star

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,052
Reaction score
4,104
Nimeisikiliza nyimbo mpya ya abby aliyemshilikisha alikiba na mr blue kiukweli jamaa kwa sasa hana sauti tofauti na ukisikiliza nyimbo zake za nyuma kama saa nane za usiku nyimbo imepoa sana kama kaswida mr bluu nae kazingua tu
Ingia yinga media utaipata
 
Reactions: MC7
Wwngine hatujui saut tunamind mapigo ya mziki tu mkuu
 
Wimbo ni mbaya sana yaan mbaya bora hata kidogo king kiba kaimba vizuri ila huyo abby skillz n lisauti lake kaharibu n mr blue utasema alilazimishwa
 
Wimbo ni mbaya sana yaan mbaya bora hata kidogo king kiba kaimba vizuri ila huyo abby skillz n lisauti lake kaharibu n mr blue utasema alilazimishwa
Ushawahi kusifia hata Siku moja tofauti na wcb
 
Abb Skillz akajipange tena kwa wimbo huu hakuna alichokifanya,maana hata hao waliompa lifti ndio kabisa wamemuharibia.
 
nimependa ile part ya kiba! kaimba vizuri sanq
 
Angefanya remix ya wimbo wa tukutane kariakoo aliomshirikisha kiba na shetta ingehit....angeongeza na sauti ya mtu kama billnas au darasa [emoji4][emoji4][emoji4]
 
Reactions: MC7
King Kiba ana jina kubwa sasa, aache kushiriki hivi vikolabo vya kijinga jinga.. Nyimbo mbaya kupita maelezo!! Inamshushia hadhi yake..

Beat na melody za kizamani walizo kuwa wananyonga akina Shirko mwaka 2007, yeye Abby daddy ndio anajifunza leo kutengeneza!
 
Mie shabiki wa kiba damu! Napenda kusema ukweli, sipendi kumdanganya kwani hatoimprove kwa kudanganywa!!!
Kiba Ameimba vizuri kwenye huu wimbo, Sana,, lakini huyu Abby skillz inabidi afanye analysis kwa mda Kidogo,hii itamsaidia kujua kuwa soko la mziki limefika Wapi kwa sasa,,mwanzoni mwa wimbo kaimba kizamani Kidogo, na saut yake imetengenezwa

Kuhusu alikiba kukataa collabo ni ngumu kidogo,na hii italeta Picha mbaya kwa Jamii, japo Nami natamani afanye collabo na watu ambao wako updated na mziki wa sasa Hatakama wakiwa underground!!,ilimradi huyo underground awe anajua muelekeo wa mziki kwa wakati huu,!Wamejitahidi na utauzika vizuri kwa sababu ya mashairi yake.
 
Reactions: MC7
Huo wimbo sja uskiliza ila najua utakuwa mbaya haija wahi tokea.

Mwenye nao anitumie pls
 
Kiba HAWEZI KUKATAA KOLABO NA HAO WASANII,KWASABABU KWANZA WANACHOKIFANYA HAO WAOMBA KOLABO NI KUJIFANYA WANAMPONDA YULE WA UPANDE WA PILI HALAFU WANAMSIFIA YEYE NA KIBA AKISHAONA HIVO NDIO ANAPENDA.
 
Wasanii wa ktambo pasua kichw kwel wanagang'ania kuimb wkat game limechange yan me cwaelew wimbo wenyew wa mbaya mbona kazi zpo nyngi tu co lazm kuimb bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…