Sergeant Stonebridge
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 479
- 4,894
Na Mwanya wake utafikiri geti la Bungeni.
Msalimie tu mkuu yupo anavutia bado.Hahahaha thanks mkuu japo tu ni ktk kumjulia khali mwasu
Katika miaka ya nyuma japo sio nyuma sana kulikuwa na mshiriki huyu wa Big Brother
Ila pia alikuwa ni mshiriki kutoka A.Kusini alikutana na mshiriki kutoka Uganda kwa jina la Gaitano
Wakaanzisha relationship
Huyu Dada pia aliwahi kupewa kazi EATV katika kipindi cha Nirvana!
Je guys nani ana taarifa za huyu mdada coz yupo kimya sana binafsi nilidhani ana tabia za akina Wema kumbe sio!
Mwenye taarifa zake plz tujuze!
mwasu
Hahahaha haya mkuu nitampa Hi usijali au sio?
Super Handsome
Ooh thanks kwa taarifa
Hivi kumbe ndiye yupo choice fm?
Na hizi talaka zimekuwa nyingi mno na mbona mwasu
Umetwambia tofauti mkuu?
Anafanya Kazi CHOICE FM Kama mtangazaji.
Yuko Dar ameolewa ana watoto wawili sasa, zile fujo za big brother zilikuwa nyege tu, sasa ni mke mwema na mama bora wa familia. Anapatikana kwa jina la Abby Plaatjes, mfuate huko mkuu.
Na Mwanya wake utafikiri geti la Bungeni.
Mbona mme wake yule Mu Italiano walishatalakiana ......,
Umeamini mkuu?