Mtu ukijaribu kutafuta tofauti ya akili ya Samuya na akili ya Trump utahitaji tochi yenye nguvu sana.
Umeshawahi kuona wapi kiongozi anaishitaki Serikali anayoiongoza kisha anafanya nayo makubaliano ya kuimaliza hiyo kesi (negotiated settlement)? This is lawlessness in full display.
Kama kiongozi ana madai ya kweli, kwanini asiishitaki Serikali wakati wa utawala wa mtu mwingine ili kuwe na true litigation?
The DOJ is finalizing a deal to launch a so-called "Truth and Justice Commission" to pay claims made by alleged victims of government "weaponization," sources say.