ABC ya Dar-Singida Acheni Ubabaishaji.

ABC ya Dar-Singida Acheni Ubabaishaji.

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
4,805
Reaction score
17,850
Hii kampuni mwanzo ilikuwa vizuri mnoo. Uendeshaji wake ulikuwa mzuri sana.

Kwa sisi wa Dodoma tulikuwa tunawapenda mnoo ukiachilia mbali kampuni zingine kama Shabibi na Kimbinyiko.

Jana nimekata tiketi, nikawaambia na kituo nitakachopandia. Cha ajabu gari imepita kituoni bila kusimama. Nimechukua boda boda nimewakimbiza lakini mkagoma kusimama eti mpaka mfike Kibaha.

Nimewapigia hapo ubungo naona mnanipa majibu ya kitoto, eti samahani! Samahani ndio itarudisha pesa yangu? Kwenye biashara hamnaga excuse, kama umefanya kosa la kibiashara basi lipa hasara.

Njiani nako fujo tupu, dereva hafuati sheria za barabarani kabisa matokeo yake kakamatwa kwa kuovertake mahali pasipotakiwa. Mmetukalisha lisaa lizima kisa dereva kakataa kutoa leseni.

Inshort ABC ya sasa sio ile ya zamani. Nimeingia kwenye gari pia watu kibaoo wanawaponda.

Jirekebisheni la sivyo you are doomed for real[emoji57][emoji57][emoji57].
 
Duuuhhh, usafiri wangu huu nini tena wanachofanya hiki.

Uliwaambia utapanda kituo gani? najua wakishasimama Mbezi, kituo kinachofuata ni Kibaha
 
Usafiri wangu wa Dar to Dom mara kwa mara but Nachukizwa sana wanaposimama kwenye ile Hotel pale Morogoro.
Wanachakula kibayaa na Quality mbovu kbs. Huku bei yao ikiwa Juu tofauti na zile Hotel Stand ya kwenda Dom. Wezao wanachakula Kizuri.
 
Naipenda sana ABC ila sijasafiri nayo tokea mwaka jana sijui wanachemka wapi...
 
Back
Top Bottom