Mlimani health center JF-Expert Member Joined Nov 25, 2021 Posts 595 Reaction score 1,490 Oct 25, 2023 #1 Wana jamvi hamjambooo Nawaza tu kufungua bakery hapa nyumbani,kuna pesa nawaza kuifanyia uwekezaji na niko sehem ndo mji umeanza kuja so nadhania kuanza kuanzisha biashara ya bakery Nawakaribisha mnipe mwongozo
Wana jamvi hamjambooo Nawaza tu kufungua bakery hapa nyumbani,kuna pesa nawaza kuifanyia uwekezaji na niko sehem ndo mji umeanza kuja so nadhania kuanza kuanzisha biashara ya bakery Nawakaribisha mnipe mwongozo