Abdala kichwa wazi anataka kuniabisha

Abdala kichwa wazi anataka kuniabisha

MOSHIFST

Senior Member
Joined
Jun 4, 2014
Posts
136
Reaction score
262
Wakuu.

Niko hapa kwa majirani kwa rais anayewasumbua wale wenye timu iliyopigwa na timu ya wananchi jana

Niko kikazi, nilifika hotel fulan standard but si kali sana ila bei kubwa, nilikuta pisi moja reception iko na sura ya kukidhi.

Sasa jana nimelala, ile pisi ikawa haipo, leo imekuja basi internet ya room ikazingua.
Nikapiga simu na pisi ikaja bana; imekuja nilipoiona abdalla kichwa wazi kasimama, kichwa cha juu kikaenda likizo ghafla na cha chini kikatake over

Ile pisi nikaiambia aise hiki kitanda kikubwa mno na siwezi lala peke yangu, fanya mpango tufanye jambo.

Pisi ikasema mi siwezi labda nikitafutie, pisi nikaikatalia nikasema nakutaka wewe.

Pisi ikakataa kuwa hapa ni eneo la kazini kwangu haitafaa labda hama hotel nikufuate.

Aise kidogo nihame halafu hapa nimelipia....nikamwambia tufanye kesho..pisi ikakubali.

Ndo nipo hapa nawaza sijui kesho niwakilishe taifa au nipotezee tu....Pisi iko poa sana ila ndo nawaza hapa km niipige au la
 
Kichwa cha chini kimeridhika? Kina uwezo mkubwa wa ku-reason au selfie, kinyume chake, utakuwa unazungumzia DOLE GUMBA labda.
 
Wakuu.
Niko hapa kwa majirani kwa rais anayewasumbua wale wenye timu iliyopigwa na timu ya wananchi jana

Niko kikazi, nilifika hotel fulan standard but si kali sana ila bei kubwa, nilikuta pisi moja reception iko na sura ya kukidhi.

Sasa jana nimelala, ile pisi ikawa haipo, leo imekuja basi internet ya room ikazingua.
Nikapiga simu na pisi ikaja bana; imekuja nilipoiona abdalla kichwa wazi kasimama, kichwa cha juu kikaenda likizo ghafla na cha chini kikatake over

Ile pisi nikaiambia aise hiki kitanda kikubwa mno na siwezi lala peke yangu, fanya mpango tufanye jambo.

Pisi ikasema mi siwezi labda nikitafutie, pisi nikaikatalia nikasema nakutaka wewe.

Pisi ikakataa kuwa hapa ni eneo la kazini kwangu haitafaa labda hama hotel nikufuate.

Aise kidogo nihame halafu hapa nimelipia....nikamwambia tufanye kesho..pisi ikakubali.

Ndo nipo hapa nawaza sijui kesho niwakilishe taifa au nipotezee tu....Pisi iko poa sana ila ndo nawaza hapa km niipige au la

Kumbuka hicho kichwa wazi cha huyo Abdallah wako usisahau kukifunika kofia "ndomu".--- ohoooo!😏
 
Back
Top Bottom