Kweli Tanzania ni nchi ya ajabu.Huyu mtu hana elimu yakuweza kuwa hata diwani,leo hii anatoa upinzani katika uchaguzi wa jumuia ya wazazi.Mtu huyu lazima ameshikwa mkono na mafisadi.Alishindwa kwenye kura za maoni za udiwa Makumbusho dar.Alianza kama muuza genge huko Musoma kisha kuwa diwani Nyasho na kuingia Fat.
Kwa nini hao mashushushu hawakuzuia zile za Sofia Simba na za Beno Malisa?Kama ndio wamezinduka basi wajue hivyo.Kama 'Mashushushu' wasingezuia zile mil 400 zilizokuwa zimwagwe kwa wajumbe wa Uchaguzi wa Wazazi kule Dodoma, basi ungeduwazwa na ushindi wa kishindo wa Bulembo! Si wajua kuna genge linawachagulia WaTz viongozi?
Mrekebisho Dr. ni mwenye Phd, historia ya Zuma na hao wengine unaweza kufananisha na ya Kawawa na si hao wengine wanaopata vyeo sasa hapa Tanzania kwani wapachikwa tu kulinda maslahi ya watu fulani.Jacob Zuma hana elimu lakini ni President wa nchi kubwa Africa, John Brescott na John Major walishika wadhifa mkubwa UK na elimu yao ilikua 1V
Bado unaweza usiwe na elimu hiyo unayo fikiria wewe na bado ukawa kiongzi mzuri ukashinda wenye Phd, Dr. nk, mfano tunao wengi tu hapa TZ wenye elimu ambao wanvurunga.
sio lazima Dr. uwe na Phd. unaweza ukawa umechukua degree ya kwanza ya medicine-(MD) au Veterinary ukaitwa Dr.Mrekebisho Dr. ni mwenye Phd, historia ya Zuma na hao wengine unaweza kufananisha na ya Kawawa na si hao wengine wanaopata vyeo sasa hapa Tanzania kwani wapachikwa tu kulinda maslahi ya watu fulani.