Pale Mume anapomsifia mkewe alijitahidi kubana mapaja kumzuia mbakaji asimalizie bao lingine la pili..Habari.
Mnyonge mnyonge ila haki yake mpeni ndicho nimekiona kwa Abdallah Shaibu 'Ninja' kwenye mechi ya leo dhidi ya Azam Fc japo tumepoteza.
Ninja safi sana kwa hiyo spirit naendelea kukupa pongezi zako umeweza kufanya yote kama ulivyofanikiwa kukaba hadi kivuli katika nafasi yako kama defender.
Napendekeza kwa leo kuwa Man of the match 'MOTM'.
Mnyonge mnyonge ila haki yake mpeni!
Kajitahidi sana beki wenu sema hakuna namna,ilikuwa ni lazima leo timu ya akina chama ikae kileleniHabari.
Mnyonge mnyonge ila haki yake mpeni ndicho nimekiona kwa Abdallah Shaibu 'Ninja' kwenye mechi ya leo dhidi ya Azam Fc japo tumepoteza.
Ninja safi sana kwa hiyo spirit naendelea kukupa pongezi zako umeweza kufanya yote kama ulivyofanikiwa kukaba hadi kivuli katika nafasi yako kama defender.
Napendekeza kwa leo kuwa Man of the match 'MOTM'.
Mnyonge mnyonge ila haki yake mpeni!
Basi chama atakua kahamia YangaMmakonde atakua chini ya ulinzi mkali sana na inajulikana ukimdhibiti Lui basi simba hakuna kitu
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Acha kumfananisha Manula na Wacheza Judo uwanjani. Ninja anatumia akili kiduuuuchu nguvu lukuki. Kwa kifupi anacheza Mpira wa Kikurya!Kwa bongo wachezaji ninao waelewa ni Aishi Manula na Ninja
Habari.
Mnyonge mnyonge ila haki yake mpeni ndicho nimekiona kwa Abdallah Shaibu 'Ninja' kwenye mechi ya leo dhidi ya Azam Fc japo tumepoteza.
Ninja safi sana kwa hiyo spirit naendelea kukupa pongezi zako umeweza kufanya yote kama ulivyofanikiwa kukaba hadi kivuli katika nafasi yako kama defender.
Napendekeza kwa leo kuwa Man of the match 'MOTM'.
Mnyonge mnyonge ila haki yake mpeni!
Swali zuri sana.Dube alipowafunga Usiku huu Yeye hakuwepo?
Duh!!!!!Pale Mume anapomsifia mkewe alijitahidi kubana mapaja kumzuia mbakaji asimalizie bao lingine la pili..
Ninja ndie alietoa assist kwa DubeSijawahi ona beki mwenye akili nyingi Kama shaibu ninja
Haki yake ni kwamba Ninja ndie alietoa assist kwa DubeHabari,
Mnyonge mnyonge ila haki yake mpeni ndicho nimekiona kwa Abdallah Shaibu 'Ninja' kwenye mechi ya leo dhidi ya Azam Fc japo tumepoteza.
Ninja safi sana kwa hiyo spirit naendelea kukupa pongezi zako umeweza kufanya yote kama ulivyofanikiwa kukaba hadi kivuli katika nafasi yako kama defender.
Napendekeza kwa leo kuwa Man of the match 'MOTM'.
Mnyonge mnyonge ila haki yake mpeni!
🤣 🤣🤣Saido vipi kafunga goli ngapi kwa kulilia kuanza kucheza
Unanuswa makalio weweAtakuja kujinyea uwanjani uyo
Hayo matusi yanatoka wapi? Itakuwa hukuzaliwa kwa njia ya kawaida wewe mama yako ALIKUJAMBA weweutasikia ninja anakaba ninja anakaba (huku wakibana pua)
akamkabe mama yake sasa
Well saidHabari,