Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
Huwezi kuzungumzia ma celebrities wa bongo bila huyu...ile miaka ya 90's alikuwa anatingisha sana
sasa hivi ni al marhum
sasa naouliza je Caro nyimbo yuko wapi jamani maana ile saluni yake imegeuzwa kuwa pharmacy
....duuuuhhhh! hawa celebrities wa enzi hizo... adimu kumuona mtu ana gari nzuri zaidi ya peugeot 504!!! Carol Nyimbo wakati huo anatamba na Golf nyekundu, Freeman na BMW...
miaka ya tisini au ya themanini ile?
BTW, Jana kwenye blog ya michuzi nimesoma habari za kusikitisha kuhusu Frank Mtui. namuomba Mwenyezi mungu amjaalie nafuu.
80's.....Freeman na BMW...
miaka ya tisini au ya themanini ile?
GT umeniacha solemba al marhum ndo nini?
Miaka ya 90 ile...
Abdu Msomali alikuwa kijeba lakini alikuwa ana hanga na watoto wa wadogo wa Shaaban Robert...duuu...dude didn't act his age at all
Nilisikiaga eti ana mdudu...
Mwj'1 -al marhum maana yake Marehemu.
...no wonder sis Carol alikuwa heshi safari kwa 'madiba'
He was balling by local standards, lakini tatizo nikwamba his vision was limited and he was consumed... basically he acted in a way that made his demise imminent, but since that is the case with all living things, he made his time come sooner..
....duuuuhhhh! hawa celebrities wa enzi hizo... adimu kumuona mtu ana gari nzuri zaidi ya peugeot 504!!! Carol Nyimbo wakati huo anatamba na Golf nyekundu, Freeman na BMW...
miaka ya tisini au ya themanini ile?
BTW, Jana kwenye blog ya michuzi nimesoma habari za kusikitisha kuhusu Frank Mtui. namuomba Mwenyezi mungu amjaalie nafuu.
Ha ha ha ha Mbu, Humu kuna watu wengi inaelekea tunafahamina maana mpaka majina yakianza kuruka hapa ukumbini ndiyo utajua kwamba kumbe nanihii pia anamfahamu nanihii ha ha ha ha. Nimesikitika sana kuona Franco amepooza mwili mzima namuomba mwenyezi mungu amsaidie ili apate ahueni. Mbu ulikuwa unaruka nyoka wapi miaka hiyo? au wewe kama mimi ulikuwa msondo ngoma kwa sana ha ha ha ha
Ni kweli habari ya Franco Mtui hata miye zimenisikitisha sana.Yaani hvi mtu akiwa amepooza ndiyo hawezi kurudi kwenye hali yake tena?.
Pole nyingi kwa dada Peres (mkewe)
Kila alipokua anapita Abdi mkubwa mmoja mdau wa redio nae alikua lzm apite, sijui usalama wa mkubwa huyo maana bado anadunda tu.
Ha ha ha ha Mbu, Humu kuna watu wengi inaelekea tunafahamina maana mpaka majina yakianza kuruka hapa ukumbini ndiyo utajua kwamba kumbe nanihii pia anamfahamu nanihii ha ha ha ha. Nimesikitika sana kuona Franco amepooza mwili mzima namuomba mwenyezi mungu amsaidie ili apate ahueni. Mbu ulikuwa unaruka nyoka wapi miaka hiyo? au wewe kama mimi ulikuwa msondo ngoma kwa sana ha ha ha ha
Mungu wangu!
Frank..... sina hata la kusema...
Mungu amjalie apone !