Caro anadunda na yuko bomba sana tu.Duka lake sasa ni Real Estate Agency nadhani ya akina Paul Rupia as you may know mdogo wa Caro is married into the Rupia family.
Mwenyezi mungu amzidishie umri mrefu na afya njema. Habari njema hizi.
Mwj'1 -al marhum maana yake Marehemu.
...no wonder sis Carol alikuwa heshi safari kwa 'madiba'
Mungu wangu!
Frank..... sina hata la kusema...
Mungu amjalie apone !
...ha ha ha, BaK nikikwambia nilikuwa nayarudi macharanga na pachanga ya Ibrahim Ferrer pale Tanzania Legion utaamini? we acha tu. Halafu nazungumzia miaka hiyo -House parties mitaa ya O'bay, Upanga, Seaview nk...
Jirani, halafu kuna watu hawabadiliki sura zao. Sijamuona Franco miaka mingi sana lakni sura yake bado ni ile ile ya tangu miaka ileeeeee. Kweli kabla hujafa hujaumbika.
Jirani, halafu kuna watu hawabadiliki sura zao. Sijamuona Franco miaka mingi sana lakni sura yake bado ni ile ile ya tangu miaka ileeeeee. Kweli kabla hujafa hujaumbika.
Mwenyezi mungu amzidishie umri mrefu na afya njema. Habari njema hizi.
Jirani..nimeshtuka sana..nilishasikia Franco Mtui kapata paralysis..haikunijia akilini kabisa kuwa ni Frank!Sura yake iko vilevile!
Imagine this at the peak of his life jamani!
BAK kwani wewe umebadilika?.i mean watu wakikuona watakupotea?Franco bado ana baby face.
Alfa hajawahi kuwa na hisa kwenye gazeti la Bang.ebwana habari za Frank ndio nimezisoma humu...noma tupu
hivi kuna mtu anajua ALFA naye yuko mji gani maana lile duka lake la simu kule Karibu hotel limefungwa na last time nilisikia kuwa ndiye owner wa gazeti la Bang sijui kama kweli
yaani tangu nima yake na mtoto wa mkubwa kapotea jiii
Ha ha ha ha SF mimi sitii neno kuhusu baby face ha ha ha ha, By the way hongera kwa kuutwaa ubingwa wa NBA.
Alfa hajawahi kuwa na hisa kwenye gazeti la Bang.
Bang lilianzishwa na kumilikiwa na vijana wenye ndoto zamaendeleo na wengine walipojitoa likabakia katika umiliki wa four strong girls ambao wamevuka vikwazo vingi mpaka walipofikia sasa. kimaadilisitareveal names za wakurugenzi wa awali na sasa wa bang ambao ndo wamiliki...
Ninajua in and out ya Bang mag thats why nimekupa hiyo true fact.
Naona vijana humu wamezungumzia ma-selebriti wao wa 80's na 90', Nami imenijia hamu ya kuwataja ma selebriti wa enzi zetu 60's na 70's.
Jee, kuna anaeweza kupinga kuwa walikuwa ni kina Wendo, Zialor, Sykes, (group moja hawa)... nani anawakumbuka wengine, ukiacha wababe wa enzi hizo akina Mrisho Wanted, Mkwanda, Joni Mgogo.....
Haya vijana wazamani, hawa vijana wa sasa na wa hivi karibuni hawajui kama nasi tulikuwa na ma-selebriti wetu? leteni vitu.
Enzi za Ettiennes, Sea View, Africana, Bahari....

Thank you for the information maana kila siku miye najua waanzilishi wa Bang magazine ni the mwamanga's.
Mosquito.......vipi yakhe...salama lakini?