Abdi Msomali

Skykes nimemsikia enzi hizo lakini never meet na ma-dj akina marehemu Kalikali,Choggy sly nk

Sykes mmoja ni yule aliekuwa Mayor wa Jiji la Dar na Mwingine ni baba yake dully sykes ambae alikuwa Musician, the two of the are related na wote ni ma selebriti ki aina yao kwa wakati huo, si hasha mpaka leo, once a celeb always a celeb
 
...NN hujarudi 'nyumbani' miaka mingi nini? Bang ni gazeti la ma -'celebrity' wa Bongo...

Hapana....narudi bongo often lakini siko ktk kujua mambo ya ma celebrity....
 
Mwamanga mmoja ndiye aliyekuwepo katika initial steps wakati mdogo wake akiwa masomoni kwa zuma. Alimuingiza kwenye waanzilishi tuIla wapo waanzilishi ambao ukitajiwa utashangaa na kujiuliza wapo wapi

Oh ok so dada mtu ndiyo alianza na hao waanzilishi wengine?all in all nimelipenda sana gazeti lao lipo juu kwa mazingira ya kibongobongo wanajitahidi na naona wako exposed kidogo.
Naona Imelda Mwamanga alikuwa huku USA like few weeks ago,i assume itakuwa kikazi na mambo ya gazeti ndiyo maceleb wetu wao.Tupo pamoja.
 
Sykes mmoja ni yule aliekuwa Mayor wa Jiji la Dar na Mwingine ni baba yake dully sykes ambae alikuwa Musician, the two of the are related na wote ni ma selebriti ki aina yao kwa wakati huo, si hasha mpaka leo, once a celeb always a celeb

Actual DSM mimi ndiyo nilikuwa anmfikiria huyo Dully Skykes si ndiyo yule artist wa bongo flava?.
 
Huyo mzungu kwenye cover ni nani bongo?
 
Kweli ujafa ujaumbika nakumbuka enzi zile ukienda kiwanja safu ya bad boyz Dj's Franco, Mao na marehemu Abeli Siwale.
Mwenyezi mungu amponye Franco
 
Kweli ujafa ujaumbika nakumbuka enzi zile ukienda kiwanja safu ya bad boyz Dj's Franco, Mao na marehemu Abeli Siwale.
Mwenyezi mungu amponye Franco

Masikini Abel SIWALE mungu amlaze mahali pema peponi bado kuna akina marehemu patranco,Hans yule alikuwa anachezea Pazi i think basletball enzi hizo hawa wote maceleb wa zamani.
alafu kuna demu mmoja alikufaga i think wa kujirusha or something a while back,ndiyo walikuwa wale madume jike wa mwanzoni kabisa nimesahau jina lake ila alikuwa mulato.
 
Masikini Abel SIWALE mungu amlaze mahali pema peponi bado kuna akina marehemu patranco,Hans yule alikuwa anachezea Pazi i think basletball enzi hizo hawa wote maceleb wa zamani.

...Marehemu Adam "Hunter", Raymond,...duh,...wametangulia wengi!
 
Caro anadunda na yuko bomba sana tu.Duka lake sasa ni Real Estate Agency nadhani ya akina Paul Rupia as you may know mdogo wa Caro is married into the Rupia family.

WOS,

Mdogo wake Carol, is that Ann, who went to IST Dar?
 
Kweli ujafa ujaumbika nakumbuka enzi zile ukienda kiwanja safu ya bad boyz Dj's Franco, Mao na marehemu Abeli Siwale.
Mwenyezi mungu amponye Franco

mao anakula book tumaini university dar
 
Actual DSM mimi ndiyo nilikuwa anmfikiria huyo Dully Skykes si ndiyo yule artist wa bongo flava?.

Haka ni katoto,60's na 70's kalikuwa hakajazaliwa, mimi naongelea baba yake na baba yake mkubwa
 
I thought yupo NY city...we unamuongelea mwingine sio Mao Lwangisa

Atakuwa anamuongelea Mao Wambura.I think Mao wambura ni mtu wa kwanza kufunguaga duka la nguo za wanaume pale karibu na kindoni makaburini enzi hizo za 90's.Alikuwa very expensive usikute alikuwa anachukua sagula pale NYC then akauja kulangua bongo ila that was a smart move.
 
Nyie subirini vibabu vinoko vione mnataja watu majina na sehemu walizopo...mtakoma

...duh, nilidhani kutajwa ndio kuwapa 'ujiko' hao ma celebrity wetu wa Bongo...ngoja nami niuchune.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…