Abdoulquarim Malisa ni Moja wa Wana CCM anayejitambua. Soma hili andiko bora kabisa kumhusu Godlisten Malisa

Kurunzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
9,753
Reaction score
10,747
Ashakumu sio Matusi lakini Asha wa siku hizi ni mcharuko wa matusi.

Nilidhani imetosha kumbe bado naendeleea kujifunza. Niliwahi kusema; ndani ya Chadema ukiachana na upinzani wetu wa jadi, kwamba sisi ni bora kuliko wao na wao kuamini wao ni bora kuliko sisi. Basi najihisi bado kuna hoja nahitaji kuzipitia upya kukubaliana kutokukubaliana.

Chadema hata uwe na kosa lako Binafsi, viongozi na wanachama wenzako watakufuata na kukuunga mkono katika mapito yako. Wanaamini hakuna asiyekosea lakini sio kukosea katika taasisi. Wanaamini unaweza kukosea ukiwa peke yako lakini huwezi kukosea kama mko zaidi ya wawili (taasisi) ndo maana wanatuambia "TUWAPISHE IKULU" watufundishe namna gani wanaweza kutuongoza.

Kila nikifikiria kuwakatalia kuna kitu kinaniambia, "huna unalojifunza kutoka kwao"? Moyo unavuka mapigo yake, nasimama nasema "kwanini isitokee halafu niwe mbali nawatazama?

Subiri, umeshawahi kuona mwanachama wa Chadema ama kiongozi wa Chadema akapatwa na jambo lolote wakamuacha peke yake? Vipi katika vyama vingine, hata CCM tu, umeshawahi kuona mwanachama wa CCM ama kiongozi wa CCM ameshikiliwa katika mikono ya dola kisha wanachama ama viongozi wakamfuata alikoshikiliwa?

Nitakujibu, hapa jibu ni HAKUNA. Ndani ya CCM wakikufuata watakufuata ili kujua unaendeleaje na nini umekiacha nje wakijumuishe pamoja na wewe humohumo ndani upotee kabisa. Vinginevyo awe ni ndugu yako ama rafiki yako wa dhati kabisa lakini sio from nowhere.

Leo umejifunza nini tena kupitia Chadema, wanajua kusimama pamoja, wanaamini tunapaswa kuungana na sio kutengana. Wanaamini hila yoyote inaweza kutumika kuwagawa. Wanaamini umoja ni nguvu lakini hawaamini katika mmoja. Ukiwa peke yako huwezi kufanikisha jambo bali mkiwa wengi.

Nakumbuka hukumu ya Mdude Chadema pale Mbeya, katika hiyo hukumu wakati ikitolewa, Mdude alikiwa ameegemea Bega la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Ndugu Freeman Aikael Mbowe. Pembeni yake alikuwepo Mwenyekiti wa Kanda hiyo Mch. Msigwa na timu yake. Yalikuwa makosa binafsi ya Mdude maana hakutumwa na chama chake kutenda hayo makosa, lakini Mwemyekiti wake Taifa alienda kuungana nae japo hakuwa na namna yoyote ya kumuepusha na adhabu lakini alifika na kumpa moyo.

Hata Mdude Nyagalli angehukumiwa KIFO bado moyoni angekuwa na AMANI na FURAHA. Hakuna upendo mkubwa kuzidi kuungwa mkono au kusikilizwa na mkubwa wako hata kama utakosea lakini kitendo cha kupewa nafasi tu ya kusikilizwa inatosha kumfariji mtu.

Mdude angehukumiwa kifo, moyoni angeamini hakuna ALIYEMUACHA peke yake. Amewaona marafiki wake wa dhati, amewaona watu wake wa karibu katika kipindi chote sio tu katika furaha za kushangilia ushindi bali hata katika nyakati ngumu amewaona.

Ndani ya CCM tofauti na kuchongeana ili kutafuta sympathy za watawala tupate TEUZI hakuna mtu atakaekufuata katika shida zako. Mimi ni shuhuda wa hilo, mwaka 2021mwezi June, baada ya kuwekwa kizuizini na wasiojulikana, yupo mtu mmoja tu aliyejitolea kunitafuta pamoja na mke wangu. Huyu alikuwa katibu wangu, sio tu aliniamini bali alikuwa kama mzee wangu, lolote ambalo lingenikuta angejihesabia kuwa limetokea katika familia yake, huyu ni Lukas Mbapila.

Walinitafuta vituo vyote vya polisi bila mafanikio, aligeuka kuwa mfariji wa familia yangu, akimpa moyo mke wangu kwamba ningepatikana tu, asubuhi na mapema alikuwa wa kwanza kumpigia simu mke wangu waanze tena zoezi la kunitafuta. Hadi siku ya tatu waliporudi tena Central police na kuambiwa nimeletwa pale usiku wa jana yake na kupewa utaratibu wa namna ya kuniwekea dhamana. Sijui umenielewa?

Walipambana nikatoka, baada ya kutoka aliniambia "Kaka nakuamini, hukukamatwa kwa bahati mbaya, lipo jambo unaloliamini ni sahihi lakini wakubwa hawataki uendelee kuliamini, liachie hilo jambo uendelee na maisha yako". Nilimjibu "yapo mengi lakini moja sintoliachia, naamini Sabaya will be free siku moja na nitakuwa miongoni mwa waliosimama nae katika nyakati zake ngumu kama ulivyosimama nami hii leo.

Wakati huo ndani ya Chama changu nilirushiwa kila aina vitisho, nikavuliwa uongozi, sikujali. Nikaambiwa nisimame uanachama, nikasema "nipeni nakala ya hukumu ya kutoka katika kamati zote mbili, ya maadili iliyonikuta na hatia na ya chama iliyopitisha hayo maamuzi".

Maisha yanatufunza, leo Malisa GJ wameungana wanachadema wote na hata wasiokuwa na vyama kuweka #Hashtags za #FreeMalisa.

Ukiachana na Godlisten kuwa philanthropist kwenye jamii yetu, ni Mwanachadema, yeye kuwa Chadema haimaanishi ameacha kusaidia au kuwafikia wenye uhitaji walio nje ya chadema. Pia yeye ni mkristo lakini hajawahi kusaidia au kuwafikia wasiokuwa wakristo ndo maana ni rafiki mkubwa wa Mzee wa Mizimu kutoka Mbutu kutoka block E, Yericko Nyerere .

Aina hii ya watu ndo watakaoifanya CCM igawanyike huko mbeleni. Nimepitia pitia katika maelezo yaliyotolewa na Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula kwamba makosa mengi yaliyopelekea kufikishwa kwake Rombo yanatokana na Mbunge wa Rombo na Waziri wa Elimu, Prof Adolf Mkenda.

Kuna namna hapa tunatengeneza namna ya kumtangaza mtu huku tukiamini tunamziba mdomo ama tunafifisha juhudi zake. Juzi Waziri Mkuu amemtambua Malisa kama kijana anaeisadia jamii ya Watanzania kwa kuwachangishia michango mbalimbali ikiwemo ya matibabu na makazi, na kuonesha kuwa Waziri Mkuu anataarifa za kutosha juu ya Malisa, akasema aliwahi kumuita aongee nae, akaenda na mafaili mbalimbali kuonesha namna ambavyo anafanya kazi yake kwa weledi na uaminifu.

Unahitaji nini tena kujitetea kama ofisi ya Waziri Mkuu inatambua kazi yako na inatambua unaifanya kwa weledi. Ningekuwa IGP ningemuaru mtu huyo aachiwe na jeshi la polisi liombe radhi kwa usumbufu uliojitokeza. Kwisha.

Kama kesi ya msingi iko mahakamani, hakuna sababu ya kuanza kutafuta vijikesi vingine. Ikithibitika hakutenda kosa kwa kutoa taarifa ama kutoa neno ambalo waalimu walimpa kuwapaziaa sauti, wizara husika itaomba radhi ama itakuaje?

Maana ya kupaza sauti sio kutoa taarifa rasmi bali ni kutoa taarifa itakayosaidia wahusika kusaidika, ndo maana ya whistle-blowers inavyokuwa.

Anyway. CCM tuendele kujifunza kutoka kwa hawa Chadema huku tukiendelea kuamini kuwa ni Nyumbu, lakini hakika nawaambia, yule kijana wa kule kanda ya Ziwa asingekula mvua 7 kwa kuambiwa ameitukana serikali bila mashtaka yake kuwekwa wazi.

Bro pole kwa Changamoto, hata Mitume walipigwa mawe, hakuna kukata tamaa, kusudi la wewe kuwepo katika hii dunia anaejua ni aliyekuumba pekee. Ishi kisha uamini tutaishia. Najisikia vibaya haya yakifanyika mbele ya macho yangu.

Kaka yako;
Abdoulquarim Malisa

Hongera sana Kaka
 
Napata shida kuamini kama andiko hili limetoka kwa mwana CCM.

Vyovyote iwavyo, tofauti kubwa ya vyama hivi ni kimoja kinajali maslahi ya nchi, kupinga dhuluma, ufisadi na kuhimiza utawala wa sheria huku upande wa pili wao wakifanya tofauti na hayo na kuwaona watanzania kama wasiofahamu chochote kinachoendelea!

Ukitaka kuyaona yote niliyoyaeleza sikiliza bajeti ya serikali itakayosomwa hivi karibuni ni copy & paste ya bajeti zilizopita huku kesho yake magazeti ambayo kwa sasa hakuna lililo huru yakiibuka na vichwa vya habari, bajeti ya kumjali mnyonge" ... aupiga mwingi kwa kuwajali maskini, ... apewe maua yake kwa bajeti ya kufuta umaskini.

Wakiwa bungeni au kwenye vikao ni wamoja na wenye kupongezana lakini yatokee ya kutokea. Angalia kilichomtokea JPM na Ndugai.

Ndugu Malisa unahitaji kuwa jasiri kuendelea kujitambulisha kuwa miongoni mwao.
 
Ashakumu sio Matusi lakini Asha wa siku hizi ni mcharuko wa matusi.

Nilidhani imetosha kumbe bado naendeleea kujifunza. Niliwahi kusema; ndani ya Chadema ukiachana na upinzani wetu wa jadi, kwamba sisi ni bora kuliko wao na wao kuamini wao ni bora kuliko sisi. Basi najihisi bado kuna hoja nahitaji kuzipitia upya kukubaliana kutokukubaliana.

Chadema hata uwe na kosa lako Binafsi, viongozi na wanachama wenzako watakufuata na kukuunga mkono katika mapito yako. Wanaamini hakuna asiyekosea lakini sio kukosea katika taasisi. Wanaamini unaweza kukosea ukiwa peke yako lakini huwezi kukosea kama mko zaidi ya wawili (taasisi) ndo maana wanatuambia "TUWAPISHE IKULU" watufundishe namna gani wanaweza kutuongoza.

Kila nikifikiria kuwakatalia kuna kitu kinaniambia, "huna unalojifunza kutoka kwao"? Moyo unavuka mapigo yake, nasimama nasema "kwanini isitokee halafu niwe mbali nawatazama?

Subiri, umeshawahi kuona mwanachama wa Chadema ama kiongozi wa Chadema akapatwa na jambo lolote wakamuacha peke yake? Vipi katika vyama vingine, hata CCM tu, umeshawahi kuona mwanachama wa CCM ama kiongozi wa CCM ameshikiliwa katika mikono ya dola kisha wanachama ama viongozi wakamfuata alikoshikiliwa?

Nitakujibu, hapa jibu ni HAKUNA. Ndani ya CCM wakikufuata watakufuata ili kujua unaendeleaje na nini umekiacha nje wakijumuishe pamoja na wewe humohumo ndani upotee kabisa. Vinginevyo awe ni ndugu yako ama rafiki yako wa dhati kabisa lakini sio from nowhere.

Leo umejifunza nini tena kupitia Chadema, wanajua kusimama pamoja, wanaamini tunapaswa kuungana na sio kutengana. Wanaamini hila yoyote inaweza kutumika kuwagawa. Wanaamini umoja ni nguvu lakini hawaamini katika mmoja. Ukiwa peke yako huwezi kufanikisha jambo bali mkiwa wengi.

Nakumbuka hukumu ya Mdude Chadema pale Mbeya, katika hiyo hukumu wakati ikitolewa, Mdude alikiwa ameegemea Bega la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Ndugu Freeman Aikael Mbowe. Pembeni yake alikuwepo Mwenyekiti wa Kanda hiyo Mch. Msigwa na timu yake. Yalikuwa makosa binafsi ya Mdude maana hakutumwa na chama chake kutenda hayo makosa, lakini Mwemyekiti wake Taifa alienda kuungana nae japo hakuwa na namna yoyote ya kumuepusha na adhabu lakini alifika na kumpa moyo.

Hata Mdude Nyagalli angehukumiwa KIFO bado moyoni angekuwa na AMANI na FURAHA. Hakuna upendo mkubwa kuzidi kuungwa mkono au kusikilizwa na mkubwa wako hata kama utakosea lakini kitendo cha kupewa nafasi tu ya kusikilizwa inatosha kumfariji mtu.

Mdude angehukumiwa kifo, moyoni angeamini hakuna ALIYEMUACHA peke yake. Amewaona marafiki wake wa dhati, amewaona watu wake wa karibu katika kipindi chote sio tu katika furaha za kushangilia ushindi bali hata katika nyakati ngumu amewaona.

Ndani ya CCM tofauti na kuchongeana ili kutafuta sympathy za watawala tupate TEUZI hakuna mtu atakaekufuata katika shida zako. Mimi ni shuhuda wa hilo, mwaka 2021mwezi June, baada ya kuwekwa kizuizini na wasiojulikana, yupo mtu mmoja tu aliyejitolea kunitafuta pamoja na mke wangu. Huyu alikuwa katibu wangu, sio tu aliniamini bali alikuwa kama mzee wangu, lolote ambalo lingenikuta angejihesabia kuwa limetokea katika familia yake, huyu ni Lukas Mbapila.

Walinitafuta vituo vyote vya polisi bila mafanikio, aligeuka kuwa mfariji wa familia yangu, akimpa moyo mke wangu kwamba ningepatikana tu, asubuhi na mapema alikuwa wa kwanza kumpigia simu mke wangu waanze tena zoezi la kunitafuta. Hadi siku ya tatu waliporudi tena Central police na kuambiwa nimeletwa pale usiku wa jana yake na kupewa utaratibu wa namna ya kuniwekea dhamana. Sijui umenielewa?

Walipambana nikatoka, baada ya kutoka aliniambia "Kaka nakuamini, hukukamatwa kwa bahati mbaya, lipo jambo unaloliamini ni sahihi lakini wakubwa hawataki uendelee kuliamini, liachie hilo jambo uendelee na maisha yako". Nilimjibu "yapo mengi lakini moja sintoliachia, naamini Sabaya will be free siku moja na nitakuwa miongoni mwa waliosimama nae katika nyakati zake ngumu kama ulivyosimama nami hii leo.

Wakati huo ndani ya Chama changu nilirushiwa kila aina vitisho, nikavuliwa uongozi, sikujali. Nikaambiwa nisimame uanachama, nikasema "nipeni nakala ya hukumu ya kutoka katika kamati zote mbili, ya maadili iliyonikuta na hatia na ya chama iliyopitisha hayo maamuzi".

Maisha yanatufunza, leo Malisa GJ wameungana wanachadema wote na hata wasiokuwa na vyama kuweka #Hashtags za #FreeMalisa.

Ukiachana na Godlisten kuwa philanthropist kwenye jamii yetu, ni Mwanachadema, yeye kuwa Chadema haimaanishi ameacha kusaidia au kuwafikia wenye uhitaji walio nje ya chadema. Pia yeye ni mkristo lakini hajawahi kusaidia au kuwafikia wasiokuwa wakristo ndo maana ni rafiki mkubwa wa Mzee wa Mizimu kutoka Mbutu kutoka block E, Yericko Nyerere .

Aina hii ya watu ndo watakaoifanya CCM igawanyike huko mbeleni. Nimepitia pitia katika maelezo yaliyotolewa na Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula kwamba makosa mengi yaliyopelekea kufikishwa kwake Rombo yanatokana na Mbunge wa Rombo na Waziri wa Elimu, Prof Adolf Mkenda.

Kuna namna hapa tunatengeneza namna ya kumtangaza mtu huku tukiamini tunamziba mdomo ama tunafifisha juhudi zake. Juzi Waziri Mkuu amemtambua Malisa kama kijana anaeisadia jamii ya Watanzania kwa kuwachangishia michango mbalimbali ikiwemo ya matibabu na makazi, na kuonesha kuwa Waziri Mkuu anataarifa za kutosha juu ya Malisa, akasema aliwahi kumuita aongee nae, akaenda na mafaili mbalimbali kuonesha namna ambavyo anafanya kazi yake kwa weledi na uaminifu.

Unahitaji nini tena kujitetea kama ofisi ya Waziri Mkuu inatambua kazi yako na inatambua unaifanya kwa weledi. Ningekuwa IGP ningemuaru mtu huyo aachiwe na jeshi la polisi liombe radhi kwa usumbufu uliojitokeza. Kwisha.

Kama kesi ya msingi iko mahakamani, hakuna sababu ya kuanza kutafuta vijikesi vingine. Ikithibitika hakutenda kosa kwa kutoa taarifa ama kutoa neno ambalo waalimu walimpa kuwapaziaa sauti, wizara husika itaomba radhi ama itakuaje?

Maana ya kupaza sauti sio kutoa taarifa rasmi bali ni kutoa taarifa itakayosaidia wahusika kusaidika, ndo maana ya whistle-blowers inavyokuwa.

Anyway. CCM tuendele kujifunza kutoka kwa hawa Chadema huku tukiendelea kuamini kuwa ni Nyumbu, lakini hakika nawaambia, yule kijana wa kule kanda ya Ziwa asingekula mvua 7 kwa kuambiwa ameitukana serikali bila mashtaka yake kuwekwa wazi.

Bro pole kwa Changamoto, hata Mitume walipigwa mawe, hakuna kukata tamaa, kusudi la wewe kuwepo katika hii dunia anaejua ni aliyekuumba pekee. Ishi kisha uamini tutaishia. Najisikia vibaya haya yakifanyika mbele ya macho yangu.

Kaka yako;
Abdoulquarim Malisa

Hongera sana Kaka
Hongera kwa andiko zuri. Pili usahihi wa nafasi ya Malisa ni ipi? Mpiga mbinja au? Maana kusema philanthropy sidhani maana Malisa hatumii hela yake bali ushawishi wake kukusanya pesa. Tatu ni kweli ccm imezeeka sana. Ni muda sasa ikibali tu kushindwa. Hizi 4R za Rais zilipaswa kuwa kichinjio cha ccm. Samia akae vyema na upinzani wamhakikishie usalama wake na maisha baada ya siasa. Lakini kwa upande mwingine ni Samia huyuhuyu anayeisambaratisha chadema
 
Ccm wambie kuna mkutano ,wali nyama na elfu kumi kazi ni kupanda malori kama mizigo, umechambua vizuri sana
 
Back
Top Bottom