dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Abdul aliona mama yake anakosolewa vikali na upinzani ameamua naye kuingia kwenye michezo michafu mbaya Sana zaidi hata ya Hayati Magufuli kuipasua CHADEMA
Hadi sasa amefanikiwa kuivuruga chadema vipande viwili.
Kwa kutupa shilingia ndani ya chama hiki kikongwe cha upinzani sasa hv viongozi wake wanarushiana maneno na kutuhumiana kupokea shilingi kutoka kwa abduli.
Yaani sas hivi ukitaja jina La Abduli mbele ya viongozi wa CHADEMA wanaweza kukuuwa kabisa
Dogo abduli ana siasa kali sna ya kuingia na kisha kuwa furuga viongoz na wanachama wake sass hv hajulikani nani mkweli nani muongo kwan hata lisu nae angesadiwa na abduli pesa zake bas na yey angekuwa han la kusema ktk hiz tuhuma
Heka heka hz anazo fanya abduli hakuna msemaji wa famili yao wametoka hadharani kukanusha ama kutolea ufafanuzi baadhi ya hoja za chadema hasa za lisu kusema kuwa abduli amemwaga fedha chafu chadema hahahhahahah😂😂😂 maana yake ni kwamba familia ya rais inajuwa fika nn kinacho endelea
Abduli wee ni kijana muungwana sna mm nimependa sana siasa zako za kulinda kaz ya mama ako apite bila vikwazo sas kaz hii hamisha kwa wana ccm wanao taka kuchukuwa fomu kuchuana na mam ako
Nikupongeze sna kijana " WEE NI KIJAN MUUNGWAN SNA"
0767087708
Abduli kama kuna jambo njoo pm au nipigie.
Kwa sasa safarin kuelekeaa Mabibo DSM