MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,721
- 21,959
Daudi Albert Bashite naye anautaka uwaziri mkubwa.Tena anayo nafasi kuwa Waziri Mkuu
Hadi mtoto wa rais anaomba omba inamaana hajatosheka na hadhina na BOT?Muda ndio huu, nenda Kizimkaz kachukue fomu uache kusumbua watu mjini.
Muda ndio huu.
Acha kutaka hela za bure kila dili wewe unataka kupewa 10 percent.
Hela za wizi hauwezi kufanikiwa .Mwanaume,
Raha ya pesa uitafute.
Yaani unapoitumia kuna ki feeling fulani hivi.
Ila hizi za kuchukua tu, huja nyiiingi na zinavyoondoka ni ajabu ajabu tu.
Angalia wanasiasa wooote, waliochuma ma hela ya wizi, kizazi Chao cha tatu au cha nne unakuta ni wa kawaida tu. Hawana pesa kiviiile.
Labda, aache kusumbua watu sasaHuenda hataki Siasa
Anataka biashara kubwa kubwa
Kila mmoja anaamua anachotaka