LGE2024 Abdul Nondo: ACT sio kama CCM hatuwezi kutoweka baada ya Uchaguzi

LGE2024 Abdul Nondo: ACT sio kama CCM hatuwezi kutoweka baada ya Uchaguzi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo Taifa, Abdul Nondo, ameibua hoja muhimu kuhusu changamoto za maendeleo vijijini wakati wa kampeni za kuwanadi wagombea wa chama hicho katika kijiji cha Mwali, kata ya Nyachenda, jimbo la Kasulu Vijijini mkoani Kigoma.

Soma Pia: Kigoma: Abdul Nondo, Mwenyekiti wa Vijana ACT Wazalendo ajiandikisha kwenye daftari la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Akizungumza mbele ya wakazi wa kijiji hicho, Nondo alisisitiza dhamira ya ACT Wazalendo ya kuhakikisha maendeleo ya kweli yanafikiwa kwa kushirikiana na wananchi.

Alisema:

“Chama chetu cha ACT Wazalendo siyo chama cha kuleta wagombea na kisha kukimbia tukishashinda, inasikitisha kuona kijiji cha Mwali kinakosa soko bidhaa zikiuziwa chini, licha ya kuwa na rasilimali nyingi kwenye hiki kijiji.”
 
Back
Top Bottom