the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo akizungumza na wanahabari leo januari 9, 2024 amesema kuwa
“kumekuwa na mwanya wa dhihaka na propaganda kwamba matukio haya ya utekaji sio ya ukweli ni ya kutengeneza ntu anawezaje kutengeneza kujiumiza, mtu anawezaje kutengeneza kujiumiza mguu manusura kufa”“Nilimsikiliza hata Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa akisema asilimia 80% ya matukio ya utekaji ni ya kutengeneza kwamba asilimia 20% ndiyo ya kweli lakini nimezungumza hapa matukio 8 ambayo hayana uchunguzi basi kama ni ya kutengeneza fanyeni chunguzi mtuambie aliyemteka Soka, aliyemteka Sativa, aliyemteka na kumuua Ali Kibao, aliyeniteka mimi, tupeni majibu”
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025