Nyakijooga
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 524
- 829
Dogo ajue ya kuzingatia ili aachane na yasiyomuhusu."Waulizeni wanaosusa ,walifanya tafiti wapi kwamba kususia uchaguzi (Election boycott) ina manufaa . Kwanini tusidhani wanaosusa uchaguzi wanatumika na CCM ili kuipa nafasi kupita bila kupingwa ,kwanini tusiamini kwamba wamehongwa na CCM ili kuifanya CCM kupita bila kupingwa."
Dogo ajue ya kuzingatia ili aachane na yasiyomuhusu.
Kusimanga Chama ambacho hakihusiki na uchaguzi wao haiwezi kumsaidia wala kumjenga. NI GUILTY inawatesa na tamaa zao za kutaka vyeo bila kuzingatia maslahi mapana ya Nchi.
Apige kampeni, aache kelele na visingizio.
Waulize: Zanzibar miaka yote ya uchaguzi Maalim Seif alikuwa anashinda. Kwa mfano mwaka 2020 alishinda kabisa na idadi ya kura zilijulikana na kila mtu. Kwa nini ''hawakulinda'' hizo kura na badala yake wakaacha Mwinyi akatangazwa?Hawa wajinga wanataka watu walindaje kura?kanuni tu walizo saini zinakataa mtu muwa kituoni baada ya kupiga kura. Unalindaje hizo kura ukiwa nyumbani???
Halafu hawa jamaa badala ya kutangaza sera zao, wao muda wote wanaishambulia CHADEMA! Hata CCM walishaisahau kabisa utadhani CHADEMA ndiyo chama ytawala.Unakuwa umeahidiwa majimbo mangapi mpaka ufike kiwango cha kujitoa akili
"Kulinda kura katika uchaguzi kwa kutegemea Majabali,marungu na Majambia bila Katiba au Sheria au Kanuni na Tume yenye Uhuru wa kutosha ni sawa sawa na kuwa na Mlinzi Kipofu kwenye ghala lako la dhahabu.Hapo Usalama wa dhahabu zako ni kwa kudra za Mungu au huruma za kaka Jambazi."Andiko hili limechapishwa Abdul Nondo kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii na kuambatanishwa na video
------------------------------
π
View attachment 3397351
"Sisi ACT Wazalendo tunajua kwamba chaguzi zetu ni za hovyo ,Sheria ni za hovyo ,Polisi wanalazimiahwa kuwa upande wa CCM ,wasimamizi wa uchaguzi wanatumika na CCM ,tunaelewa tunapambana na Dola sio CCM.".
"Ila Suluhu nini ? . Suluhu sio kususa ,suluhu ni kupambana,sababu usipopambana hakuna kitakacho badilika zaidi tutaendelea kuumia hivyo nendeni mkafanye maamuzi na kulinda kura."
"Waulizeni wanaosusa ,walifanya tafiti wapi kwamba kususia uchaguzi (Election boycott) ina manufaa . Kwanini tusidhani wanaosusa uchaguzi wanatumika na CCM ili kuipa nafasi kupita bila kupingwa ,kwanini tusiamini kwamba wamehongwa na CCM ili kuifanya CCM kupita bila kupingwa."
"Huu Mkoa wenu wa Shinyanga ni Mkoa Maskini sana ,ila ndio Mkoa wenye rasilimali za kutosha na ni Mkoa wa nne unaochangia pato la Taifa baada ya Dar es salaam,Mwanza ,Mbeya alafu Shinyanga.Ila mna umaskini , huduma mbovu za jamii ,Barabara mbovu, ukosefu wa ajira." .
"Oktoba nendeni mkapige kura,nendeni mkalinde kura zenu. Inawesekana kwa nguvu na uwezo wetu ".
Hayo yamezungumzwa na mwenyekiti wa Ngome ya Vijana Taifa ,ndug.Abdul Nondo akiwa Mkoa wa Shinyanga ,Jimbo la Shinyanga Mjini, Jana tarehe 6/07/2025 .