Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Majungu yapi, tuambie Abdul ana cheo gani serikarini acha kuleta unazi.MZEE WA NYAMBIZI , MR . MISIFAZ ANAWEKEZA KWENYE ENERGY. MUACHENI KIJANA PENDWA ANAEONA FURSA IKO WAPI. SIE TUENDELEZE MAJUNGU
Kwani hamna wawekezaji wanaoenda nchi yoyote wakaonana na top leaders. Mbona hiyo kawaida. Kwani Abdul ni mwanasiasa au muajiriwa wa Jamhuri . Let a brother live his LifeMajungu yapi, tuambie Abdul ana cheo gani serikarini acha kuleta unazi.
🗑️Kwani hamna wawekezaji wanaoenda nchi yoyote wakaonana na top leaders. Mbona hiyo kawaida. Kwani Abdul ni mwanasiasa au muajiriwa wa Jamhuri . Let a brother live his Life
Wameifanya nchi kuwa yao rasmi.Majungu yapi, tuambie Abdul ana cheo gani serikarini acha kuleta unazi.
Jamaa hata simuele et Abdul muwekezaji?Wameifanya nchi kuwa yao rasmi.
Anajitoa ufahamuJamaa hata simuele et Abdul muwekezaji?
Kama Kushnerna MarekaniUsikute huyu abuduli ni vice president kivuli sisi wananchi hatujui.
Maana si mara moja si mara mbili anamuwakilisha Samia huko nje ya nchi licha ya kutotambulika serikalini.
Sasa je kama jamaa sio vice president kivuli je huko huwa anakwenda kumuwakilisha rais kama nani?
Hii nchi bhana kuna watu wanapenda kujiamulia mambo kimabavu cha ajabu vyombo vya usalama wa nchi vimekaa kimya au nao wanapewa ganji yao ndio maana wameshikwa wakashikika?