Abdulrahman Kinana uso kwa uso na Balozi wa Marekani nchini

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
377
Reaction score
435
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amekutana na Kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani hapa Nchini Tanzania Mhe. Michael Battle, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam, leo Machi 14, 2023.

Wamejadili masuala mbalimbali kuhusu ushirikiano na umoja kati ya Marekani na Tanzania katika nyanja mbalimbali za kiuchumi, kijamii na mengine mengi.


 
Ushoga Utakuwa kipao mbele na ccm wamekubali bila shaka Maana hakuna kelele kutoka kwa viongozi
 
10 Mar2023
In an exclusive interview with The Citizen, the new US ambassador to Tanzania, Michael Battle Sr, sheds light on US-Tanzania economic, political, and social ties. He also addresses concerns on security alerts and the Ukraine war


Source : mwananchi digital

More info :

 
CCM NDO SERIKALI na ukipambana nayo jua unapambana na serikali. Ni ukweli mchachu huu
 
CCM NDO SERIKALI na ukipambana nayo jua unapambana na serikali. Ni ukweli mchachu huu
Huu ni ushamba uliobakia vichwani mwa wahafidhina wa CCM. Serikali ya Tanzania ni mali ya watanzania wala si mali ya CCM.

Siku huyo Balozi akikutana na Vingozi wa CHADEMA msije kusema kuwa mabeberu wanaingilia siasa za Tanzania!!
 
Kinna anajua ki-malkia? johnthebaptist
 
serikali ya marekani na ulaya hazilazimishi ushoga bro,wao wanasema hawaingilii masuala ya kibinafsi ya mtu binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…