Abeid Amani Karume: Upi ulikuwa msimamo wake juu ya Muungano?

Abeid Amani Karume: Upi ulikuwa msimamo wake juu ya Muungano?

Saracen

Senior Member
Joined
Apr 14, 2011
Posts
145
Reaction score
63
Wakuu,

Naomba mwenye ufahamu anijulishe Marehemu Abeid Amani Karume (04/08/1920 - 07/05/1972) alikuwa ana msimamo gani juu ya Muungano wa Tanganyika? Kuna maandiko yake yoyote juu ya mawazo, filosofia na msimamo juu ya muungano huo toka kwake moja kwa moja ama toka kwa waandishi walio muwakilisha.

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom