Jamani au kwa sababu Ebo alikuwa maarufu mbona Lema hakuja kifo cha mama yangu hapa hapa Arusha...... siasa bana zinabagua sijui kwa maslahi ya nani. kila jambo linabebwa kulingana na litakavyosaidia siasa.
angekuwa Jk kwenda kwenye mazishi tungesema sana kumbe ni jadi yetu tunayotaka kuikataa
Acha kukurupuka.nani kasema ccm,tlp na udp wasiende?Kwani Mr Ebo alikuwa chadema? kadi namba ngapi? kama sivyo kwa nini na CCM, TLP, UDP wasiende tu kumzika mtanzania mwenzetu alikuwa mtu wa watu wote na alituimbia wote bila kujali chama!!!!!!!!!
Kwani Mr Ebo alikuwa chadema? kadi namba ngapi? kama sivyo kwa nini na CCM, TLP, UDP wasiende tu kumzika mtanzania mwenzetu alikuwa mtu wa watu wote na alituimbia wote bila kujali chama!!!!!!!!!
nitakuwepo mazishi ya Mr Ebo lakini siendi kwa tiketi ya chama chochote nitakuwa mtu huru kwa maslahi ya watanzania wote. tutawajuza kitakachojiri huko. Marehemu siku hizi ni mateka wa kisiasa
Poleni sana familia ya Mr Ebo!
Lema ni nani katika familia ya Mr Ebo, mpaka kupanga mazishi hayo!
Huu msiba una uhusiano gani na wanaharakati wa Chadema!
Mbona mnataka kupora msiba wa watu?
Kwani Mr Ebo alikuwa chadema? kadi namba ngapi? kama sivyo kwa nini na CCM, TLP, UDP wasiende tu kumzika mtanzania mwenzetu alikuwa mtu wa watu wote na alituimbia wote bila kujali chama!!!!!!!!!
chama cha wasanii hakipo mbona wasemaji wakuu wa mr Ebo ni chadema? naona thread imekaa kiushabiki shabiki? kama kujitongozesha vile.
Lema ni mbunge wa Mr Ebo,ccm walishindwa
Nyuma ya masai camp...........ni wapi sasa?mbona hamuelezi direction ya eneo la tukio?
Gaudance Lyimo ni Meya wa Mr Ebo, chadema walishindwa
Arusha hatuna meya mama hata kama tungekuwa nae meya anachaguliwa na watu 15 huwezi kumlinganisha na munge alie chaguliwa na watu 57,000...............Gaudance Lyimo ni Meya wa Mr Ebo, chadema walishindwa