TANZIA Abeli Motika (Mr. EBBO) Afariki Dunia

Bwana Ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe! RIP Mr EBBO!
 
R.I.P one of the bongo music revolutionary maestro

cant forget how you changed our music
 
Wana JF kuna habari za kusikitisha nimezipata asubui hi kuwa mr Ebo kafariki, je wenzangu mmezipata?
 
Tumepoteza kipaji muhimu sana. I still have his album "Fahari Yako" RIP Brother Ebbo (Abel Loshilaa Motika), director of Motika Records.
 
mungu ailaze pema roho yake peponi!
 
R I P Mr. Ebbo, tutakukumbuka always!
 
Wana JF kuna habari za kusikitisha nimezipata asubui hi kuwa mr Ebo kafariki, je wenzangu mmezipata?

Acha kuzushia watu kifo mkuu.
kama huna uhakika kwa nini ulete habari hii hapa???
 
Ndio mkuu tumeshaipata! It is sad news and sad day!
 
Nimezipata muda sio mrefu. Inasikitisha sana! Buriani Mr Ebo.
 
Dah!huyu jamaa amefariki,mungu amlaze pahala panapofaa masikini!naona utakua ni msiba mzito kwa mh.lowassa,jamaa alikua mshikaji wake sana mheshimiwa pamoja na mzee mkapa!

R.I.P.BROTHER!
 
So sad...liked the dude......
RIP Abeli Motika...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…