Car4Sale Abigail magari used

Year of manufacture 2005
Engine capacity Cc2390
Engine code 4GR
Mileage.....?
Transmission Automatic
Fuel petrol
Sport rimz
New tires

Mteja serious karibu


 
Mkuu,nyama hazitoshi.Ungesema kitu kuhusu milleage ,piga picha injini ya gari,kadi ya gari,ndani ya gari ,utuambie unapatikana wapi?, ikiwezekana weka mawasiliano.
 
Alipe kwanza hizo parking fees alafu atangaze kuiuza!
 

Attachments

  • Screenshot_20220603-203433.jpg
    177.6 KB · Views: 22
Kumbe una ID 2!

Ni madeni sababu toka mwaka jana hayajalipwa!
Punguza mashauzi mtoto wa kiume
Unahangaika na watu wasiohangaika nawe.
Hilo deni alienunua gari angemalizana na mmiliki..shida yako nini?
Sina I'd nyingine na uache kumzushia huyo usiemjua
Naona una hamu nikujibu...chukua airtime

Sitajibizana nawe tena kamwe..usiatarajie!
.
Bweka ukimaliza kalale!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…