Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,886
- 9,088
- Thread starter
-
- #121
Mark x bado ipo? Ni pm namba yakoMark x mil 5.8
Wish nyeupe 8.5....
Ivute chapGari nzuri sana na bei sawa na bure.
Hizi gari mnazisingizia tu. Zipo juu, bodi ni ngumu, ziko stable sana barabarani! Kuna jamaa yangu yuko Kijijini ana hii gari mwaka wa 5 sasa! Tena ina usajili wa B..!!Maradhi ya moyo
Wawekee wateja na picha za pembeni, nyuma na pia za kwenye injini kama hutojali.