Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Weka picha za mbele na nyuma ya gari
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Haya sasa ndiyo magari ya kununua sisi wanyonge kwenye hii awamu ya 6! Hapa hata mafisadi wapandishe vipi bei ya mafuta, sisi tunateleza tu kama kambale.
Ikifika 1m nicheki mkuu nimnunulie mwanangu awe anaendea chuo.
Ni BMW samahaniDuuh hiyo nayo benz... Kweli hamna muuzaji hapo
Mzee wa line za mpesa upo?Number b unauza million 3 acha tamaa madalali mwenyew masikin anatak 1.5
Nipo umefungua ofc nyingine y mpesa nikupatie line ndugu yanguMzee wa line za mpesa upo?
Hahaha sijui hata kama unanikumbuka vizuriNipo umefungua ofc nyingine y mpesa nikupatie line ndugu yangu
Sent from my INE-LX1 using JamiiForums mobile app
Nakufaham ndio mahana nimekujibuHahaha sijui hata kama unanikumbuka vizuri
Hebu taja tulionana wapi na nani 😂
How much????
SoldHow much????