Abihudi Misholi vs Boni Mwaitege

Mchungaji Abiud Misholi
 
Mmoja nyimbo za kuabudu na kutafarakari (abihudi)
Mwingine nyimbo za kusifu (mwaitege)
Hakuna fairness kwenye kutafuta ubora wa kila mmoja
Kulingana na aina ya tungo/utunzi wao.
Ili iwe fair ingekua hivi
Sedekiya vs abihudi
Mwaitege vs mwahangila (mungu ni mungu tu)
 
Abiudi ananyimbo ukiwa unahitaji uwepo wa Mungu rohoni mwako lazima akili ifanye kazi fasta kujua Mungu alikutoa wapi na unatakiwa uende wapi na unatakiwa ufanye nn ktk maisha yaliyopo.lazima ujitambue na kama ulikuwa kinyume na Mungu lazima utubu
 
Hivi umeishia darasa la ngapi,naona hujui hata maana ya neno tetesi.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Abiud Misholi nikikumbuka huyu jamaa utotoni alikua bangi sana,
 
Abiudi ananyimbo ukiwa unahitaji uwepo wa Mungu rohoni mwako lazima akili ifanye kazi fasta kujua Mungu alikutoa wapi na unatakiwa uende wapi na unatakiwa ufanye nn ktk maisha yaliyopo.lazima ujitambue na kama ulikuwa kinyume na Mungu lazima utubu
Kweli kabisa, ukisijiliza nyimbo zake utazidi kuimarika kiroho.
 
Tenda miujiza usiache Bwana mwaka huu upite,bila kutenda miujiza,Ee Moyo wangu amka umwimbie Muumba wako aliyekulinda usiku ,akuonge maisha,Nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ