Akili Kichwani
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,508
- 220
huwa inanipa taabu sana, eti kwa nini abiria wa pikipiki huwa wanakaa "upande" kila mara huku wakichingulia "kiaina" juu ya bega la dereva.... yaani hawakai wima na kutazama visogo vya madereva wao?
Wanaokaa upande ni wanawake/wasichana. Nguo nyingine huwezi tanua miguu, na unaweza anguka wakati wa kupanda au kushuka. So, kukaa upande ni nafuu zaidi.
Nafikiri hujamuelewa mtoa mada. yeye anajaribu kuongelea wale wanaokaa huku kila mguu ukiwa upande mmoja wa pikipiki, hawa ukiwaangalia mara nyingi sana kama sio zote vichwa vyao huwa haviko usawa wa kichwa cha dereva yaani vinakuwa kushoto au kulia kwake kdogo huku wakichungulia mbele. Hao ndo anaowazungumzia mkuu.Wanaokaa upande ni wanawake/wasichana. Nguo nyingine huwezi tanua miguu, na unaweza anguka wakati wa kupanda au kushuka. So, kukaa upande ni nafuu zaidi.
huwa inanipa taabu sana, eti kwa nini abiria wa pikipiki huwa wanakaa "upande" kila mara huku wakichingulia "kiaina" juu ya bega la dereva.... yaani hawakai wima na kutazama visogo vya madereva wao?