johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Abiria wa treni ya Dsm kwenda Moshi wamemuomba mkurugenzi wa TRC ndugu Kadogosa kuwaboreshea Huduma za ukataji tiketi kwani abiria ni wengi na foleni ni ndefu sana.
Umenena vema!Hiyo management ina akili ya tope, wanashindwaje ku digitize!? Kama wameweza kuboresha reli wanashindwaje kuweka mfumo wa e-ticketing? Labda wana mitego yao ya kuiibia serikali kupitia manual system!!
Hainaga kuchimba dawa!naskia huko kwenye treni watu ni kulewa mwanzo-mwisho
Huo msemo unakera ujue. Kimaneno mnautaja kwa madaha, kivitendo mnafanya kinyume!! Mungu anawaona mjue....
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafungua huduna kwa style ile ile ya mwaka 1990... 29 yrs ago...watu wakisema wanaonekana eti wasaliti wa maendeleo...sasa haya ndiyo maendeleo? kufanya mambo kwa same style as it was 30 yrs back.
CCM juuuu...... chamaaa.!!
Treni ya wanywaji ilenaskia huko kwenye treni watu ni kulewa mwanzo-mwisho
Choo ni ndani kwa ndani kama gesti. Si umesikia kuna second sleeping? Ukikata tiketi ya sleeping utakuta chumba kina choo humo humo. Hata kondom zimoHainaga kuchimba dawa!
Nadhani watarekebisha chap kwa haraka!Ni kama hawakujipanga kwa hilo.