Huyu kijana ambaye amekuwa maarufu kwa kipaji chake cha uimbaji nilifurahi kumwona BSS kama mmoja wa washiriki.
Hata hivyo nilistuka kupata taarifa kuwa hayupo tena BSS na sikujua sababu ni nini hadi leo nilipoangalia manara TV.
Yeye mwenyewe akihojiwa alisema ameamua kuondoka kwa kuwa mmoja wa majaji alimkwaza kwa kumwambia kuwa ana wenge.
Hata hivyo nadhani kwa vile tu jaji aliyemwona ana wenge siyo mtaalamu wa afya ndio maana alilazimika kumwambia ukweli aliouona kwake.
Binafsi nimeona huyu kijana ana tatizo zaidi ya kuwa na mawenge tu.Abiud ana tatizo la afya ya akili na anahitaji msaada wa haraka.
Ukimuona mtu kama yeye anasena ni mkubwa kuliko BSS!,unajua kabisa kuna mahali nyaya zimeachia.
Kama kuna mtu yupo karibu nae hapa ,amwambie aende upesi kwa
Daktari na amweleze kuwa ana tatizo la kiakili
Ila tu kwa maoni yangu,ni muimbaji wa kawaida na hana sifa ya kufika hata top 10.
Anapaswa kulijua tatizo lake kisha akitib
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app