ABOOD BUS SERVICE LIMITED : ONLINE BOOKINGS HAZIPO TAFADHALI REKEBISHA

ABOOD BUS SERVICE LIMITED : ONLINE BOOKINGS HAZIPO TAFADHALI REKEBISHA

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Kila uki -search travel date yoyote unapata response hii

Hakuna ratiba ya safari iliyopangwa tarehe uliyochagua kutoka , Jaribu tarehe nyingine.
 
Kila uki -search travel date yoyote unapata response hii

Hakuna ratiba ya safari iliyopangwa tarehe uliyochagua kutoka , Jaribu tarehe nyingine.
Piga simu yao ufanye booking web kuwa down kawaida....acha kulalamika...
 
Kampuni nyingi zipo hivo online ticketing ni nzuri kwao na inafanya kuzuia mianya upotevu wa pesa zao
 
Mkuu umefanya lini hilo zoezi, jana mimi nmekata tiketi online
Screenshot_20241216_101314_Messages.jpg
 
Abood hawana hiyo bei ya 74,000 (Morogoro to Arusha). USIHARIBU BIASHARA ZA WATU!!!
Ticket zao ni 35,000 basi la Asubuhi na 37,000 Basi la jioni/Usiku)
Kwani WeweTatizo Ni Bei??Au Tatizo Ni Malipo Ya Kimtandao Ya Tiketi Kwa Basi Husika?
 
Abood hawana hiyo bei ya 74,000 (Morogoro to Arusha). USIHARIBU BIASHARA ZA WATU!!!
Ticket zao ni 35,000 basi la Asubuhi na 37,000 Basi la jioni/Usiku)
Kabla hujahukumu ni vema ukajifunza, hizo ni seat mbili mkuu, 37000×2=74,000
 
Yale ya mazishi nayaona, sasa sijui kama unaulizia hayo
 
Back
Top Bottom