leonard ngobole
Member
- Jun 11, 2011
- 82
- 46
Usimharibie mwenzio biashara bana. Siyo vizuri [emoji16]Matatizo matupu haya.
Hii comment nimeipenda sana ipo kihisia zaidi. AhsanteUsimharibie mwenzio biashara bana. Siyo vizuri [emoji16]
Ni ubinadamu tu ndugu yangu. Ukiona mwenzio anapambana kujitafutia ridhiki yake kwa njia halali kabisa ni vizuri ukamuunga mkono. Kama huna cha kuunga mkono ni afadhali ukajikalia kimya tu. Haya mambo ni mzunguko, leo kwake kesho kwako na dunia hii haina mtaalamu [emoji1545]Hii comment nimeipenda sana ipo kihisia zaidi. Ahsante
Wateja karibuni
Ni ubinadamu tu ndugu yangu. Ukiona mwenzio anapambana kujitafutia ridhiki yake kwa njia halali kabisa ni vizuri ukamuunga mkono. Kama huna cha kuunga mkono ni afadhali ukajikalia kimya tu. Haya mambo ni mzunguko, leo kwake kesho kwako na dunia hii haina mtaalamu [emoji1545]
Kwani aboder imewakosea nini wazee, daaahhtahadhali ni muhimu pia,maana si vyema mtu akapata hasara kwa kigezo cha kumsaidia mwingine.
unaweza uzia mteja mkorofi sababu alikuamini,akaja kukung'oa koromeo kisa kakuta wenge huko.
umenena vema mkuu yan kuna miwatu humu sijui michaw yan kutwa kucha Kuhalibu na kukatisha tamaa kwenye biasharala za wenzaoNi ubinadamu tu ndugu yangu. Ukiona mwenzio anapambana kujitafutia ridhiki yake kwa njia halali kabisa ni vizuri ukamuunga mkono. Kama huna cha kuunga mkono ni afadhali ukajikalia kimya tu. Haya mambo ni mzunguko, leo kwake kesho kwako na dunia hii haina mtaalamu [emoji1545]