DAH PIKIPIKI MJINI HAPA Jamani ni hatari ya Danger, alikuwa akiendesha pikipiki anatoka africana usiku anarudi nyumbani benzi ikamgonga kwa nyuma RIP Baba DIANA.
DAH PIKIPIKI MJINI HAPA Jamani ni hatari ya Danger, alikuwa akiendesha pikipiki anatoka africana usiku anarudi nyumbani benzi ikamgonga kwa nyuma RIP Baba DIANA.
Baada ya benz kumgonga na kusimama kutaka kutoa msaada wa kwanza pengine angepona...., ghafla zilitokea gari nyingine na kumgonga marehemu hivyo kufariki dunia. Inasikitisha saana. Mungu aipe nguvu familia ya marehemu na wafanyakazi wenzie.
RIP baba Diana.