Uchaguzi 2020 Aboubakar Abdalah Juma amenikonga Moyo

Uchaguzi 2020 Aboubakar Abdalah Juma amenikonga Moyo

nyabhera

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2011
Posts
661
Reaction score
733
Kwa tathimini ya haraka ndugu Aboubakari Abdalah Juma ndiye mgombea amenikonga moyo wangu.

Amenikonga moyo kwa kuonesha yeye ni kiongozi thabiti. Hasa kwa namna alivyoungwa mkono na familia yake katika kutia nia ya urais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania.

Waumini wa social democracy huamini kiongozi mzuri huanza katika familia yake. Aliwahi kusema Adolf Hitler kua anayeweza kuongoza familia yake vyema ataongoza vyema kijiji kwa maana kijiji ni muunganiko wa familia nyingi.

Pia atajaweza kuongoza kijiji ataongoza vyema taifa kwa kuwa Taifa ni muunganiko wa vijiji vingi.

Kwa mkitadha huo kama huyu Aboubakar atateuliwa na NCCR Mageuzi hakika atapata kura yangu.

Asante.

IMG_20200719_134144_421.jpeg
 
Mbatia amefia wapi? au ameachwa kwenye mataa na maccm kama yalivyomfanya Lipumba?
 
Binafsi namfahamu huyu Jamaa. Ni mdau mkubwa wa football. Anafaa kwa Urais ila system za nchi hii sidhani kama atapita.
 
Back
Top Bottom