Aboubakar Bakhresa kuinunua Simba kwa 25 billion

Aboubakar Bakhresa kuinunua Simba kwa 25 billion

Mzee Mchopu

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2014
Posts
1,031
Reaction score
268
Habari inayozagaa mjini ni kwamba

Aboubakar bakhresa anataka kuinunua timu ya simba
Akipanda dau juu ya lile dau lililotolewa na billionea kijana mbichi na mbunge wa zamani wa SINGIDA MJINI MOHAMMED DEWJI MO
 
Kwa hali ilivyo sasa achukue hata bure mradi atuhakikishie kuiboresha basi na sisi tuanze kuonja ushindi.
 
Nmemsikia Aveva akizungumza kua kuna mtu pia anaitaka simba..lkn ktk tetesi mtangazaji akanong'ona kua ni Abubakar Bakharesa...ni jambo nzur ingawa ana kikwazo toka kw uongozi wa sasa hawataki kuachia na pia body ya wazMini ambao ndio wanazishikilia hati miliki za simba pia hawako tayari kuachia
 
Bodi ya wazamin wasituzingue
Tutafanya mapinduzi wachezaji wanavyotuhujumu hawaoni au.

Yan kila sku droo
Watu hawapewi posho
 
Club ina kuwa company,hiyo hela inakuwa invested kweny company
Hapo ni lazima kujiuliza mara mbili kabla ya kumuuzia timu mtu yoyote. Kwa mtazamo wangu hapo huyu Bakhresa ndio atakuwa winner, hela itakuwa ya club na yeye ndio mmiliki. Ni sawa kutoa hela mfuko wa kushoto anaweka mfuko wa kulia. I'm just curious!
 
Dooh sasa familia moja itamiliki club mbili za azam fc n simba.. Hakutakua conflict of interest kweli kwenye ligi yetu
 
Wajiandae kama ule mgogoro ulioikumba Yanga...Yanga Kampuni na Yanga asili,nao wajiandae kwa Simba asili na Simba ya mtu binafsi
 
Nimekubali kuiuza Mwambieni Huyo Mteja sijui TEJA aweke pesa zote kwenye Account yangu ya Bank, mjini Monaco. Account za TZ namuogopa baba Magu asije akazidai kodi kabla sijamchenjia maana Hata Bekham anaitaja ila una unya unya hajawahi kuwekeza Africa anaogopa Uchawi na Rushwa kwenye Ligi.... Mwambieni Abuu namuuzia timu pamoja na wanachama wake wote sitaki Presha anymore...
 
Mi Simba ILA chama cha michezo wawe wanachunguza hizi pesa ndio mtu apewe timu.
 
kwa hali ilivyo sasa ni bora www.simbasports.co.tz iwe chini ya mtu mwenye uwezo kifedha na mipango endelevu itakayoisaidia Simba Sc, kuliko kuwategemea watu wasio na dira kama kina Aveva, Kaburu & Hans Pope ..

Hao watatu wamekuwa sehemu ya kuirudisha Simba Sc nyuma kwani badala ya kuisaidia timu, leo wao ndio wamekuwa tegemezi kwa timu hadi sasa.
 
mkuu umeeleza vizuri asante...
 
Back
Top Bottom