Mzee Mchopu
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,031
- 268
Bodi ya wazamin wasituzingueNmemsikia Aveva akizungumza kua kuna mtu pia anaitaka simba..lkn ktk tetesi mtangazaji akanong'ona kua ni Abubakar Bakharesa...ni jambo nzur ingawa ana kikwazo toka kw uongozi wa sasa hawataki kuachia na pia body ya wazMini ambao ndio wanazishikilia hati miliki za simba pia hawako tayari kuachia
Club ina kuwa company,hiyo hela inakuwa invested kweny companyHela atapewa nani?
Hapo ni lazima kujiuliza mara mbili kabla ya kumuuzia timu mtu yoyote. Kwa mtazamo wangu hapo huyu Bakhresa ndio atakuwa winner, hela itakuwa ya club na yeye ndio mmiliki. Ni sawa kutoa hela mfuko wa kushoto anaweka mfuko wa kulia. I'm just curious!Club ina kuwa company,hiyo hela inakuwa invested kweny company
Kesho naenda fasta kupata kadi ya uanachamaHiyo mijihela tunagaiwa wanachama au vp?
Mmmh...watakujibu kuwa mbn jeshi ina timu mbili ligi kuu?Dooh sasa familia moja itamiliki club mbili za azam fc n simba.. Hakutakua conflict of interest kweli kwenye ligi yetu
kwa hali ilivyo sasa ni bora www.simbasports.co.tz iwe chini ya mtu mwenye uwezo kifedha na mipango endelevu itakayoisaidia Simba Sc, kuliko kuwategemea watu wasio na dira kama kina Aveva, Kaburu & Hans Pope ..
Hao watatu wamekuwa sehemu ya kuirudisha Simba Sc nyuma kwani badala ya kuisaidia timu, leo wao ndio wamekuwa tegemezi kwa timu hadi sasa.