About KIBITI

TZ boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2012
Posts
629
Reaction score
183
Jamani napenda kuuliza kuhusu ku change comb kutoka HGE kwenda EGM Kwani zote nina point 6 na ndo EGM ilikuwa comb ya kwanza kuchangua je inauwezekano .NA SHULE ITA NIFAA KWA HIYO comb msaada plz
 
Bwana mdogo,me nakushauri kama umepangwa HGE kapge hyo hyo tu,coz egm nayo kutoka kwake ni ishu,infact Egm na Hge zote zina uelekeo mmoja,tofaut zake ni ndogo sana!kubadili comb ktk shule husika inaruhusiwa,ukfka shule kaonane na mkuu wako wa shule 2 atakusaidia.best of lucky in your studies.over
 

thanks mkuu wangu ubarikiwe!!7!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…