Rampren
New Member
- Jun 27, 2019
- 3
- 1
Habari zenu Great thinkers!
Nimekuja na swala jipya linalolenga maada kuhusu nembo ya Tbs kwa brand za wafanyabiashara na wajasiriamali wadogo wabogo au level yoyote. Nauliza swali kama kuna yeyote ambaye alishawahi kufatilia Nembo ya TBS na anayo ama kusikia popote naomba atusaidie gharama husika niweze kujua, maana nimeingia kwenye website yao ya TBS mle kuna maelezo , vigezo, taratibu za kufata na mengineyo ilaa gharama husika hazijatajwaa naona ziko dynamics yaani siyo constant nilivohisi.Naomba tusaidiane katika hili. [emoji1315][emoji121].....