About pregnant

Kutoka maji maji ukeni wakati wa ujauzito husababisha na vitu vingi kwa wakati tofauti..

Ni vizuri ungetuambia ujauzito una umri gani na hayo maji yalianza kutoka kutoka wakati ujauzito uma umri gani
Kiasi cha maji, rangi gani, na kama yana harufu yoyote..

Izo information zinawezasaidia kujua chanzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…