Rebson sanga
Member
- Jun 13, 2013
- 31
- 0
Poleni na majukumu ya kila cku wanajf mimi kwa majina naitwa husen ngilangwa nimehitimu kidato cha nne mwaka jana na kwa bahat mbaya sikufanikiwa kujiunga na kidato cha tano kwasababu nlipata division 4 ya 26 na nlipata c za phyisics na chemistry na masomo mengne yote yaliyobaki nlipata d kwahiyo nimekuja kwenu leo wanajf mnisaidie kwa ushaur ni college gan nnaweza kuendelea na masomo na je ntasoma course gan na kwa ngazi ip diploma au certficate na kama ni certficate ni miaka mingapi ntamaliza ili nianze diploma samahan kwa usumbufu ushauri wako ndo msaada wangu ahsanten