kweyamba_dave
JF-Expert Member
- Oct 2, 2012
- 961
- 483
jukwaa la historia litabaki kuwa jukwaa pendwa kwangu japo siku za karibuni limekuwa kimya mno... bado mengi hayajaandikwa tuifanye hai historia...............
Sikuja kuandika juu ya kuzaliwa wala kuoa kwa Abe.. kilichonivuta ni mtindo wa maisha yake na yale aliyopitia.
alizaliwa kwa baba asiyekuwa na elimu na ambaye hakuonyesha upendo kwa Abraham. ilionyesha wazi kuwa abe aliichukia hali hii ya kuwa chini kwenye macho ya baba yake. chuki yake iliwashwa na upendo wa baba yake kwa kaka yake wa kambo huku yeye akionekana mkorofi na mwenye tabia za kivivu na ilizimwa na amko la kisasi juu ya vipigo vya mzee wake.
alishinda mno kwenye mashamba ya baba yake na kisha akatolewa kufanya kazi kwenye mashamba ya rafiki za babaye kwa ujira ambao uliishia kwenye mikono ya baba yake mzee Thomas. kazi kubwa aliyotenda ilipwa kwa makofi ya baba yake alipoambiwa kuwa abe anapigisha hadithi wenzie mashambani... kufanya kazi bila mshahara ndiko kulikomfanya ajione mtumwa bubu... yawezekana ni kweli alipenda maongezi, jambo hili hautalikosa kwa kiongozi wa kuzaliwa... alijawa na chuki na baada ya kuondoka kwa baba yake Aligoma kurudi hata kumzika baba yake alipofariki...alichukia uovu wa utumwa bubu aliofanyiwa. nadhani hili lilimpa nafasi ya kutafakari kipi hasa kinampata negro ndani ya America.
harakati Zake za kuifanya America kuwa nchi ya haki zilianza taratibu mwisho akaja na emancipation proclamation.. wengi wanasema kuwa booth(muuaji wa abe) kama angelipata ushawishi wa kumuua abe.. Habari za civil rights movement zisingekuwepo...
abe aliupinga utumwa kwakuwa alikua nao na aliuona kwa macho yake...viongozi wa kiafrika hukua kwenye umaskini na kusahau kuvusha wananchi wao salama baada ya kuwa viongozi....
"........ if I would have two faces do you think I would have put on this one???? " by Abraham Lincoln