Abramovich kuikwamua Chelsea

Rebo Tz

Senior Member
Joined
Sep 26, 2016
Posts
169
Reaction score
125


London, England. Mmiliki wa Chelsea, Roman Abramovich yuko tayari kuipa klabu hiyo fedha za usajili ili kusuka upya kikosi ambacho msimu huu kinachechemea.
Tajiri huyo ameelezea imani yake kwa kocha, Antonio Conte akimtaka awasajili Antoine Griezmann na Antonio Rudiger Januari mwakani, huku hali ya baadaye ya mabeki Branislav Ivanovic, Nemanja Matic, Oscar na kiungo Cesc Fabregas ikiwa shakani.

Wakati hayo yakiendelea Chelsea, Manchester United ipo tayari kumpa mkataba mpya Juan Mata ili kumbakiza kwenye klabu hiyo ya Old Trafford. Mata ameanza mazungumzo na kocha wake, Jose Mourinho kuhusu mkataba mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…