ABROMAVICH nakuomba umfute kazi kocha Wa Chelsea Maurizo Sarri

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe juu yenu

Jana nilipigiwa cm kama million na mashabiki Wa man united wakinicheka sana

Ni haki yao kunicheka lakin na Mimi nasema ni haki ya sarri kufutwa kazi pale darajani

Tumechoka na kocha mpuuz kama huyu asiyeisha ugomvi na wachezaji

Kwa sasa anaungomvi na ngoro kante na anataka kumuuza PSG

Ibrahim abromavich muufute kazi huyu jamaa haraka sana vinginevyo nitaanzisha maandamo hapa London urud kwenu Israel tell Aviv

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpira wa Ulaya sio sawa na Tanzania bwana ngosha. Kufungwa sita ni jambo la kawaida ikiwa siku mbaya kwako (bad day at the office).

Kabla ya kufukuza kocha lazima kuna mambo ambayo ni muhimu kuangalia. Je utamleta nani ambae atafanya vizuri zaidi yake? (hili huwezi ku guarantee). Mfano angalia Man U chini ya Ole ambae hana splendid career kama Mou, lakini team inafanya vizuri zaidi kwa sasa. Kuna factors nyingi behind.

Pia kikubwa ni financial impact inayoweza kusababishwa na kuvunja mkataba. Usifikiri unaweza kufukuza tu mtu ambae umesha saini nae mkataba wa miaka kadhaa. Utamlipa billions of money. Utasema RA ana hela nyingi ndio lakini sio sababu ya kuzotumia hovyo.

Mbinu ya utajiri ni ubahili.
 
Eti simu kama milion

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…