Its difficult to predict featal death in relation to abruptio placenta cause depends on severity of bleeding as time goes on,otherwise ultrasound is a good option for featal heartrate.
Kondo la uzazi linaachia kutoka katika uterus mapema(prematurely).Naomb kujuzwa...abruptio placenta ni nini?
Pole sana Phina kwa yote yaliyotokea, Abruptio placenta ni hatari sana kama walivyosema wachangiaji wengine, lakini pia hutegemeana na duration na extent ya abruption yenyewe ili kuweza ku predict fetal outcome, kama ni marginal abruptio placentae unaweza kumpata mtoto even in six to 8 hrs na ukifanya ultrasound sonographer ataona just a small retroplacental clot, then hapa ni bora kuwahi c/s if you can sustain survival of the new born (if preterm) in external environment. Kama ni 36 wks and above go for c/s immediately. kwenye total abruptio placenta ni nadra sana kupata live baby un less imetokea mkiwa tayari theatre na delivery isizidi 5-10 min.My querry is-if it is abruptio placenta,how long will it take from the abruptio to fetal death??could it be that the fetal heartrate is not appreciated by the fetoscope but an ultrasound will show some hope of life??