Absalom Kibanda ameachiwa huru na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu

Absalom Kibanda ameachiwa huru na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu

engmtolera

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
5,149
Reaction score
1,441
Chanzo: East Africa Television (EATV)

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru Mhariri Mtendaji wa kampuni ya New Habari, Absalom Kibanda, Meneja Uendelezaji Biashara wa Kampuni ya Mwananchi Communication Limited Theophil Makunga na mwandishi Samson Mwigamba.

Akisoma hukumu yao ya kesi ya uchochezi leo Jijini Dar es Salaam, Hakimu Mkazi Warialwande Lema amesema washtakiwa hao walishtakiwa kwa hisia tu na hisia haziwezi kuwa na mashiko hata zikiwa na nguvu ya aina gani na kuongeza kuwa ushahidi uliowasilishwa dhidi yao ulikuwa dhaifu.
 
Back
Top Bottom