Absalom Kibanda, Mhariri Mtendaji wa Tanzania Daima alishatimka?

Jolebatawi

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2011
Posts
549
Reaction score
230
Wadau kulikuwa na tetesi kuwa huyu jamaa anahamia new Habari Corporation kwa RA kuanzia tarehe 1.12.2012, na ushahidi wa hili ni alipoanza kuandika makala ndani ya gazeti la Tanzania Daima (m4c kama nape anavyoliita) kwa kuanza kujikomba kwa magamba kama makala yake ya namuogopa kinana,mara kinana ni kimbunga n.k ili aanze kuufukuzia ukuu wa wilaya hiyo 2015 kama watanusurika kufa.

SWALI LANGU NI JE AMESHATIMKA TZ DAIMA? AU ROSTAM BADO HAJAMCHUKUA
 
Hadi tarehe ya leo Tanzania Daima inaonesha Kibanda Absalom,0754 001010,ni Mhariri Mtendaji wa Tanzania Daima
 

Kaka kibanda vp tena hizi tetesi ni za kweli? Au uzushi tu.kutokana hadhi yako kwa wadau wa habari tz kaka unaonaje ukithibitisha au kukanusha ili tusiendelee kuishi kwenye tetesi tu.naamini u mtu huru kufanya kazi popote ambapo unaona ni sehemu salama kwako.
 
Ameshatimka kwani kuna uzi hapa uliweka picha siku anaaga wenzake
 

mzee hapo kwenye red hebu fafanua.
inaonekana ulikuwa unajua haya yote yatatokea tangu 6th dec. 2012!?
 
Hiii ilikuwa kitambo sana ,jamaa alitekwa akapigwa kipigo cha mbwa koko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…